Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu ONTARIO naomba niwe mmoja Kati ya hao 300,my phone no 0753282776 thanx
 
Shukran sana Mkuu mungu akulipe kwa hili tuko pa1 usiniache ktk list am ready for this...
 
Mkuu tufundishe biashara, usitufundishe imani. Hapo ukweli utatuchanganya wengi.

Kama una refer kwa Bushiri, tumia business ideas na siyo religious ideas.
 
Tuko pamoja mkuu,Mungu akubariki kwa kushare hayo mawazo mazuri.
 
Hii ndio mda wote nilikua nasubiri kwa hamu nijifunze!
Endelea kutupa shule mkuu.....
Ila angalia hao wenye mabank wasije wakakufanyia figisu maana hii nchi yetu bhana!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…