Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
COUNT ME IN..................
Hii iko well focused....please keep us informed.....Tag me please for easy followups
 
Mkuu uzi mzuri umetutia hamasa vijana wenzako sasa tunasubiri kwa hamu hiyo semina elekezi na kama kuna vitabu ningeomba mkuu uvitupie tuanze kuvipitia mapema
 
Hivi wote tukikimbilia kufanya biashara ya Forex atanunua nani? Isitoshe sijaona nadharia ya kufanya biashara hii hapa kwetu Tz penye uchumi dhaifu usiokuwa na transactions nying za pesa za kigeni. S. Africa wana maviwanda (I doubt if they're not neuclear power) hivyo na mzunguko wake ni babu kubwa. Pale OR Tambo International airport kuna ndege zirukazo na kutua every passing minute from big cities all over the world. Huku kwetu angalia hata London kwenyewe huwezi kwenda moja kwa moja lazima uunganishe sehemu nyingine, hiyo biashara ya forex waachie wajukuu zenu, nyie kwanza fikirieni kulima chakula cha kuwatosha, tuwe na umeme wa uhakika, maji matibabu nk.
Nawaza tu..unamiaka 45 kwenda juu
 
Uzi umesimama kinoma kaka ila bado cjakupata vzur mfano, unatakiwa uwe na bei gani ili uanze hyo biashara na ni katka mfumo gan
 
Hivi wote tukikimbilia kufanya biashara ya Forex atanunua nani? Isitoshe sijaona nadharia ya kufanya biashara hii hapa kwetu Tz penye uchumi dhaifu usiokuwa na transactions nying za pesa za kigeni. S. Africa wana maviwanda (I doubt if they're not neuclear power) hivyo na mzunguko wake ni babu kubwa. Pale OR Tambo International airport kuna ndege zirukazo na kutua every passing minute from big cities all over the world. Huku kwetu angalia hata London kwenyewe huwezi kwenda moja kwa moja lazima uunganishe sehemu nyingine, hiyo biashara ya forex waachie wajukuu zenu, nyie kwanza fikirieni kulima chakula cha kuwatosha, tuwe na umeme wa uhakika, maji matibabu nk.

uoga wako ndiyo umasikini wako.....hata simu zaa mkononi zilivyoanza kuingia tuliambiwa hazitufai...
 
Hivi wote tukikimbilia kufanya biashara ya Forex atanunua nani? Isitoshe sijaona nadharia ya kufanya biashara hii hapa kwetu Tz penye uchumi dhaifu usiokuwa na transactions nying za pesa za kigeni. S. Africa wana maviwanda (I doubt if they're not neuclear power) hivyo na mzunguko wake ni babu kubwa. Pale OR Tambo International airport kuna ndege zirukazo na kutua every passing minute from big cities all over the world. Huku kwetu angalia hata London kwenyewe huwezi kwenda moja kwa moja lazima uunganishe sehemu nyingine, hiyo biashara ya forex waachie wajukuu zenu, nyie kwanza fikirieni kulima chakula cha kuwatosha, tuwe na umeme wa uhakika, maji matibabu nk.
Mkuu unakata tamaa haraka. Kuna biashara ziko centralised, means kuwa na akaunti nikiwa koromije, ni status sawa na mwenye akaunt aliyeko wall street marekani. Hivyo ofisi ikiwa bongo, haina maana kuwa wa kolomije tutatengwa mkuu. Ndivyo nilivyoelewa
 
Mkuu nimekuwa nakusoma kichichin na sijawah funguka ila leo umetisha tena... Naamin nitakuwa ndan ya 300 wa mwanzo..
 
Amesema ukiona amekujibu pm ujue wewe ni malaika. Ametoa alichonacho free, nawe uliza free ili wengine tujifunze toka kwako.

Invisible alikuwa na ujumbe, "...Ficha upumbavu wako, usifiche busara yako..."
Ilikuwa kuna haja ya kunipa maelezo yote hayo + matusi..

Top of that kwanini kiherehere na kisebusebu kikutume uniqoute while swali hujaulizwa wewe? Mpaka hapo umejiona ulivyo mpumbavu?

Next time usizoee kuquote quote tu ilimradi nyambafu wewe ...mfyuuu
 
Mkuu ONTARIO shukran sana

Umesababisha nimesoma uzi nikiwa nimesimama kwenye daladala

I am standby waiting for updates
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom