Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Forex generation goes runs along well with exports.. na si vinginevyo. Start by stimulating export oriented businesses, basi. Hapa wall st. utakuwa unafanya nini? What has Tz enlisted there. Katuzidi maarifa huyu: Tanzanian Royalty Exploration Corporation na si mtanzania, nasikia alikuwa karani enzi za Backreef Mines.

Mkuu nimsaidie ONTARIO kukujibu, Forex hawatrade TSHS VS USD/EUR/JPY bali wanatrade major currencies. i.e EUR/USD , GBP/USD, USD/JPY ETC. Kwahiyo uchumi wetu wa madafu TSHS hauusiki hapo. Fundamental analysis itaangalia uchumi wa USA/UK/JAPAN/USWIS/CANADA/AUSTRALIA/NEWZEALAND na sio TZ.
 
-------------------------------- something interesting to ready!
 
Mkuu thanks kwa uzi huu, NGOJA NIANDIKE KWA CAPITAL LETTERS~UKIANZA TU ANZA NA MIMI, baada ya kumaliza elimu ya chuo nilipata kufwatilia sana hii kitu pamoja na kudownload videos za huyu youngest millionaire SANDILE SHEZI kwa wakat huo cjui kwa sasa, na kusoma sana baadh ya APPS zilizopo play store kwa kujifunza, ilinibid nipractice sana kwny demo account kwa kutumia BINARY OPTION~IQ option things was running smoothly but kutokana na research zang nikakutana na baadh ya comments zikisema BINARY its a SCUM nkasita kudeposite ili nideal na real account.

Ni kitu ambayo bado ipo kwny damu and good enough nilikuw nakutana na platform zngne lakin walikuw wanadai THERE IS NO CURRENT BROKER IN UR COUNTRY. Also nilijaribu kucontact na ''ETORO" via email nikijua as the among of the best brokers but nikaona kuna umuhimu wa Elimu zaid juu ya kuijua hii kitu.

As you said hili swala linafanyika kwa kificho sana I was so surprised wakat IQ option wananiambia wana 12,000 Customers from Tz huku nikiwa sijawah kusikia hii kitu ikiwa promoted in either way hapa nchn,
Thnks 4 coming bro I will be in touch with this thread ili Twende sawa.

LET ME ADD SOMETHING ON MY COMMENT HERE.
Baada ya kucomment hapo juu I got several in box texts watu wakitaka kuijua hii business, it shows watu wameipokea kwa mikono miwil let me welcome yu nitakusaidia pale nlipo na experience napo kwa muda mrefu so you may ask here or in box whatever nitakujbu.
 
Mkuu ONTARIO ebu niambie,Jee kwa mimi niliyepo Europe(UK)naweza fanya biashara hii na ikanilipa vizuri ikiwa ntakua na mtaji mzuri?
 
Daaaaah JF ni kila kituuu...nashukuruuu brother nmeelewaaa ntakua mstarr wa mbeleee kabisaa katika hiliii...waitn...brother
 
Niliisoma sana chuo hii,muda wa kuipractice umefika.ngoja nijikupushe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom