Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nilikutag kumbe ushafika.? Hahahaaha, aisee hii sioni utofauti sana na ile biashara yetu.
Muhimu ni kujifunza na kuelewa kila kitu kabla ya kutia miguu yote miwili.
Upo sahihi kikubwa kwetu na changamoto ni lugha tuu na wabongo si wavivu kujifunza hasa kitu kiwe cha muda mrefu ooohMkuu sasa kama mtu hajui lugha unamsaidiaje? Na ukizingatia watz wengi hawajui lugha ya malaika?
Mnaonaje na nyie mnefunguka iyo kitu mloyokua mnafanyaYah, uzuri ni kuwa baadhi ya masomo tutayaskip. Somo kama la kuhandle pressure ya kuchoma account hili tayari tuna experience ya kutosha toka upande ule.
Heeeehhehe.
Yah, uzuri ni kuwa baadhi ya masomo tutayaskip. Somo kama la kuhandle pressure ya kuchoma account hili tayari tuna experience ya kutosha toka upande ule.
Heeeehhehe.
CC: Root, Raimundo, Mtoto wa nzi.