ONTARIO
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 1,884
- 17,096
- Thread starter
- #121
Boss Mandela aliwahi kusema "education is the most powerful weapon to fight against poverty". Usichokijua basi uwe tayari kujifunza, otherwise dunia itakuacha hivi hivi. Leo unaweza kuwa mabwepande ukafanya biashara kama vile upo Wall Street.Hivi wote tukikimbilia kufanya biashara ya Forex atanunua nani? Isitoshe sijaona nadharia ya kufanya biashara hii hapa kwetu Tz penye uchumi dhaifu usiokuwa na transactions nying za pesa za kigeni. S. Africa wana maviwanda (I doubt if they're not neuclear power) hivyo na mzunguko wake ni babu kubwa. Pale OR Tambo International airport kuna ndege zirukazo na kutua every passing minute from big cities all over the world. Huku kwetu angalia hata London kwenyewe huwezi kwenda moja kwa moja lazima uunganishe sehemu nyingine, hiyo biashara ya forex waachie wajukuu zenu, nyie kwanza fikirieni kulima chakula cha kuwatosha, tuwe na umeme wa uhakika, maji matibabu nk.