Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
wala si tapeli bro namjua vyema uyo mtu cc, pa.. , unajua mtu anavyo sema kufundisha si kwamba anashida ya hela ama vipi no kadri unapomfundisha mtu unapata kujua na vitu vingine zaidi note that. uyo jamaa ni real trader chek order namba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo bei sasa Usd 500.... Dah....si afanye bure tumuunge mkono?
 
Mwache akafie mtaroni tuu... Naona njaaa imemkaba hadi uwezo wakufikiri haupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20180904_084737_011.jpg
    105.1 KB · Views: 47
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…