Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu je waweza fungua real account moja kwa moja bila demo account?
Ndio, inawezekana. Na waweza fungua cent account badala ya demo. Uzuri wa cent ni kwamba ni real account, hvyo hata market maker wana influence nayo, so unatrade as demo lakini ukiwa na reality ya soko, tofauti na demo.

Kupata real account na cent account kwa broker mmoja, wacheck hawa https://templerfx.com wanazo zote mbili.

Mimi binafsi ninatumia cent, mana ninaweza kufund exactly amount ntafund kwa real in terms of cent, then nkajaribu kuona strategy gan inaweza kuipandisha... Kabla cjaenda kurisk much money in real account.

The answer? Ndio. Inawezekana. Sio lazima uwe na demo.
 
Ok asante kaka!
Pia nataka kujua broker ambae yuko trusted sana b4 cjafnya maamuz ya kutrade
 
Ok asante kaka!
Pia nataka kujua broker ambae yuko trusted sana b4 cjafnya maamuz ya kutrade
Mabroker wako wengi tofauti tofauti, yes, kuwa trusted ni ishu ya msingi, lakini pia kuna ishu nyngne kama vile urahc wa kuweka na kutoa cash, huduma kwa wateja, na spreads. Kwa Tz wengi twatumia Templer, sbb twaweza kufund na kuwithdraw kwa mpesa, ambayo ni easiest way available.

Wengne ninaotumia ni hawa hapa:

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue! - JamiiForums
 
Nimeweka abc's za nini nafanya kwenye forex hapa: Posti ya tatu: https://bit.ly/2MzInU3



Hivyo unapo wasilian nami kuwa wazi nini hasa unahitaji
(a) Kupewa samaki (Kupewa Trtrading signal na kuwa tegemezi wa signal) au

(b) Kufundishwa kuvua samaki ( Kulitazama soko/ charts na kuona trading opportunity na kufanya maamuzi wewe binafsi kama uingie au usiingie, kwa kutegemea setup unayo iona)

Karibu
 
Forex Bible na Forex Candlesticks Bible
Ndio ni tofauti

Kwa anayeanza kujifunza anaanza na Forex Bible,
Thenili ku_master candlestick ndipo unasoma hicho kitabu Candlesticks Bible
 
Ontario ww binafsi unamtumia broker gani..?
 
Ndio ni tofauti

Kwa anayeanza kujifunza anaanza na Forex Bible,
Thenili ku_master candlestick ndipo unasoma hicho kitabu Candlesticks Bible
Je tulioanza kusoma currency trading for dummies ,tukaja essential na babypips na tukasoma vingine vingi kuna ulazima wa kukisoma Forex bible?
 
Hakuna ulazima

Babypips imemaliza kila kitu kwa anayeanza.
Je tulioanza kusoma currency trading for dummies ,tukaja essential na babypips na tukasoma vingine vingi kuna ulazima wa kukisoma Forex bible?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…