Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
COUNT ME IN..................
Hii iko well focused....please keep us informed.....Tag me please for easy followups
 
Mkuu uzi mzuri umetutia hamasa vijana wenzako sasa tunasubiri kwa hamu hiyo semina elekezi na kama kuna vitabu ningeomba mkuu uvitupie tuanze kuvipitia mapema
 
Nawaza tu..unamiaka 45 kwenda juu
 
Uzi umesimama kinoma kaka ila bado cjakupata vzur mfano, unatakiwa uwe na bei gani ili uanze hyo biashara na ni katka mfumo gan
 

uoga wako ndiyo umasikini wako.....hata simu zaa mkononi zilivyoanza kuingia tuliambiwa hazitufai...
 
Mkuu unakata tamaa haraka. Kuna biashara ziko centralised, means kuwa na akaunti nikiwa koromije, ni status sawa na mwenye akaunt aliyeko wall street marekani. Hivyo ofisi ikiwa bongo, haina maana kuwa wa kolomije tutatengwa mkuu. Ndivyo nilivyoelewa
 
Mkuu nimekuwa nakusoma kichichin na sijawah funguka ila leo umetisha tena... Naamin nitakuwa ndan ya 300 wa mwanzo..
 
Amesema ukiona amekujibu pm ujue wewe ni malaika. Ametoa alichonacho free, nawe uliza free ili wengine tujifunze toka kwako.

Invisible alikuwa na ujumbe, "...Ficha upumbavu wako, usifiche busara yako..."
Ilikuwa kuna haja ya kunipa maelezo yote hayo + matusi..

Top of that kwanini kiherehere na kisebusebu kikutume uniqoute while swali hujaulizwa wewe? Mpaka hapo umejiona ulivyo mpumbavu?

Next time usizoee kuquote quote tu ilimradi nyambafu wewe ...mfyuuu
 
Mkuu ONTARIO shukran sana

Umesababisha nimesoma uzi nikiwa nimesimama kwenye daladala

I am standby waiting for updates
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…