Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Uzi umeshiba sana aisee, sasa sijui cha kufanya ili na mimi niwe miongoni mwa wale 300
 
Mkuu nilikutag kumbe ushafika.? Hahahaaha, aisee hii sioni utofauti sana na ile biashara yetu.

Muhimu ni kujifunza na kuelewa kila kitu kabla ya kutia miguu yote miwili.
 
Wacha ni describe kabsa ili nikimaliza shughuli zangu niupitie mdogo mdgo
 
Mkuu sasa kama mtu hajui lugha unamsaidiaje? Na ukizingatia watz wengi hawajui lugha ya malaika?
Upo sahihi kikubwa kwetu na changamoto ni lugha tuu na wabongo si wavivu kujifunza hasa kitu kiwe cha muda mrefu oooh

Ila kaka Ontario shukran uzi mzuri acha tuitumie fursa I'm in thank u brother i appreciate your effort i'm ready to learn
 
Yah, uzuri ni kuwa baadhi ya masomo tutayaskip. Somo kama la kuhandle pressure ya kuchoma account hili tayari tuna experience ya kutosha toka upande ule.

Heeeehhehe.

Ha ha ha ha, acha kunichekesha mkuu.

Hebu ngoja tuwe makini kwenye kusubiri lini jamaa ataanzisha darasa, ninaamini kwa knowledge ndogo niliyonayo ya finance sitashindwa kumwelewa.

Tutateam up, kuhakikisha tunajua in out.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…