Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
daaa hongera sana kwa flow yako nzuri unaweza pia kuwa mwandishi mzuri taratibu naamini tutafika
una spirit yakufight big up
 
Naomba kila mtu ambae yupo interested kwa kujinoa noa na kuondoa tongo tongo asome kitabu kinaitwa Currency trading for dummies kimeandikwa na Brian Dolan. Kitakupush sana sana.

51d65851212876c309f109d1ba532ea6.jpg
 
Watu wa Mwanza, Arusha blah blah, mnalia sana, hamuoni aibu kunidekea. Mimi nimesafiri hadi Afrika kusini, nikaishi Pretoria, Johannesburg na Durban kwaajili ya forex. Namaanisha nimetomea Dar mpk huko just for this thing. Mtu yupo hapo Himo nauli elfu 25 anauliza nitamsaidiaje. Jamani tuacheni kudeka, hakuna mtu atakuletea kila kitu hadi kwenye sinia.

Lkn hili pia linanifikirisha kua tukiwa successful tutafungua branches na huko mlipo.

But bosses tuacheni kudeka. Dar na mwanza ni dakika 0 tu. Tena hapa Dar kuna mpk lodge za efu 10, sitaki kusema nilikua natumia kiasi gani kwajili ya meals na accommodation, waliofika SA wanaelewa nn nasema.

....

Nimetoa jina la kitabu watu wasome, lkn kuna mtu bado anasema nikiweke hapa, wakati vipo pdf huko gugo hata MB 10 havifiki. Is this how you guys hustle for success?! Watanzania tunapenda sana slope.
 
...sijasoma thread yote, niko na msongo, but i want to do it..!! how do i start...
 
Nina uelewa kiasi juu ya FX Market. Niliwahi fanya kazi na institute moja iliyokuwa ina deal na fx though sikuwa directly attached to this unit, ila nilinusa harufu ya hela ndefu ndani yake.
Count me in mkuu...
Utanifundisha nami kutrade[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapa sibanduki hata kwa mtutu wa bunduki.
Ubarikiwe sana Mkuu Ontario kwa kutushirikisha elimu hii
 
Naomba niwe wa kwanza kwenye list yako ya watu 300 tafadhali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom