Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Technical analysis and fundamental analysis won't guarantee profit.

They may be perfect tools in assisting you to make correct decisions but unfortunately this is not the case all time.

Kwahiyo nayo inaelementi za ubashiri, tena wa kiwango cha juu.
Nielezee kidogo tena.

Ukiangalia kwa undani bila kuwa bias utaona pia speculating is not investing.

Ambapo hapa members wameshaona Fx ni some form of investment for their money.

Watu wanauliza leverage kwenye Fx. Maana yake profit and loss is highly magnified.

And it's very unfortunate that most retail traders lose money.

Ndiyo maana ni volatile market.

Kanuni za economics zinatambua investment kwa sifa zake.

Mosi unapata faida in long term basis (na ikiwa short term inaweza kuwa zaidi ya 3 months strictly speaking). Tofauti na forex ambapo trader anatafuta faida kwa muda mfupi kadiri itawezekana.

Pili katika investment risk ya kupoteza ni chini au non existent. Kwenye forex unatrade on margin basis.

Kwamba risk ni kubwa sana na pia faida ni kubwa sana.

Lakini angalizo muhimu ni kuwa more than 60% wanapoteza. And this is conservative record.

Je hii inaashiria nini?

Kwahizo sifa hapo juu ni safe kusema trading forex is some form of gambling.

What you think?
Kununua mpunga na kuuficha ukisubiria upande ili uuze upate faida ni form ya speculation tuseme hivi assumption na speculation wanasound kama entwined katika hili speculation is the name of the game therefore get down to the business and see what is all about.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Nmeifatilia kidogo kwa kusoma vijitabu na nmejisajili kwenye platform ya ifc blocker kama demo account ili nipate ujuzi kidogo na kufahamu baadhi ya mambo kama leverage na ask currency,bid currency,pair currency ...kuikweli nimepata changamoto ya kurun ile software yao labda nikutafute mkuu unijuze jins ya kununua na kuuza kupitia hawa broker....
njooo pm nikusaidie
 
Kwann unasema ni scammer?wengine hatujui
Huyo jamaa ni pastor, level za tb joshua vile, anatoka Zimbabwe, ana followers kibao, yeye ni mzee wa kufanya chochote ili mradi apige hela, ni scammer kwa kua anafanya upuuzi live na kuwadanganya watu, mfano alifanya editing akapachika malaika kwenye video akasema ati malaika walitokea kanisani kwake live, hehehe! unaweza amini mpuuzi kama huyu anayesema mungu kampa uwezo wa kupaa, anajirekodi miguu iko juu huku mikono imeshika sehemu alafu anasema ni uwezo wa mungu. Mtu kama huyu akiandika kitabu chochote kile unaweza kisoma kweli?
 
Ni rahisi. Mfano leo Bongo US$ 1 inauzwa kwa tshs 2250 na kununuliwa kwa tshs 2200. Sasa mtu anaweza kutarajia Dola itapanda thamani kwa maana kufikia kuuzwa kwa tshs 3000 ifikapo December mwaka huu, hivyo akanunua sasa hivi labda dola zake 1000. Atakuwa ametumia tshs 2,250,000. Akasubiri ikafika hiyo December kweli dola 1 ikawa imepanda mpaka kuwa inauzwa tshs 3000. Huyo mtu akauza zile dola zake 1000 na kupata tshs 3,000,000. Hapo atakuwa amepata faida ya 750,000 nzima kutoka 2,250,000 aliyonunulia.

Kinyume chake kinawezekana, kwa maana alitegeme dola ipande thamani ifikapo december lakini ikashika chini ya aliyonunulia, mfano ikashuka mpaka tshs 2000 kutoka tshs 2250 aliyonunulia. Sasa akitaka kuuza zile dola zake 1000 wkt huo atapata tshs 2,000,000 na hivyo kuw amepata hasara ya 250,000 ktk huo muamala.

Sasa huu mchakato unafanyika globally kwenye system the forex. Broker ndio mnunuzi na muuzaji wako. Ni kama vile unavyoenda Bureau de Change...ukiwa na shikingi unataka dola unapata, ukiwa na dola unataka shilingi unapata.

Natumai nimekujibu swali lako.

But most forex trader wana trade katka major currencies apo nazungumzia USD,EURO,GBP,AUD,JPY,CHF hzi currency kwenye forex market zipo very liquidity huwez uka trade Tsh.. kwenye forex market ukawaza profit


Note. Forex market is not guaranteed ur success

Most of people wana trade kimehemko zaid aise hii kitu inahitaj kusoma& more practice
 
Ficha upumbavu wako mkuu..

Stop embarassing your parents who paid millions for your education, while you fail reasong something small like this..

Sorry bro Ata in trade kuna profit and loss means apo ume Lose money or ume gan?? It's gambling???
 
Aise Mkuu kama ingekua ni Mtihani basi tungefaulu marks sawa maana nipo hapo natizamia na kufuatilia kila kitu unachoandika hapa toka jana nimetoka na Nondo za kunifungua Macho duuuuuu
 
Kama huna maarifa kabisa inabidi ufanye hata training ya kisela..

Unaweza ukawa unajidanganya..
no mkuu mie kuhudhuria iyo training n changamoto kwangu ndo maana nkakuuliza ivo ila ulvonijib dah au umeogopa utamwaribia mshkaji soko, npm kama unaogopa kumwaribia mshkaji soko angalau angalau nipate mwanga maana umendisappoint kwel an. Bavaria
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom