Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hata ivo jamaa siyo mubinafisi sawa na binadamu wengine kikubwa watu kujituma na kuwa mabarozi wazuriiii but i hope mimi ndo forrgner namba moja from west country Ruanda na Burundi nitapewa fursa iyo hata kama is not now but for future knoledge is power chelrea ufikrre
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Ni na swali la kisaikolojia kidogo kwa jamaa etuu paleee je aliwezaje kuhandle stress after first loss siyo la kijinga ila lina maana yakeeee
 
Tafadhali nijumuishwe kati ya hao 300. Niko Arusha na sishindwi kuja dar 0766159501
 
Hata ivo jamaa siyo mubinafisi sawa na binadamu wengine kikubwa watu kujituma na kuwa mabarozi wazuriiii but i hope mimi ndo forrgner namba moja from west country Ruanda na Burundi nitapewa fursa iyo hata kama is not now but for future knoledge is power chelrea ufikrre
asee fanyia kazi spelling, na kiswahili pia jua kutofautisha L na R katika maneno
 
Hii kitu sio rahisi wadau msikimbilie sana mtapoteza pesa bure kuna mdau kashauri vema huko juu.
Mfano unaweza kudhamilia kupata Dora 6 tu ambayo dhamani take inazidishwa inakuwa sio Dora sita tena ni 600 sasa ikitokea usiipate hiyo inamaana umepoteza Dora 600 kwa muda mfupi sana.Inahitaji umakini wa juu sana so sio kila RAIA anaweza fa ya forex.
 
Kwakweli kama wewe ni mvivu kusoma na kuielewa hizuri hii kitu(FOREX), stay out of its way.Pamoja na kulearn kwa makini TREND SYSTEM kwa kutumia INDICATORS kama EMA(60,15,5 na 14), PARABOLIC SAR, ICC14 and so on,Long trades zimenipa changamoto sana ukilinganisha na short maana tangu nimeanza ku practise long(buy) zote nimekula loss but Short mambo yanakwenda safi.
Nashauri wale walioanza kupractise kama mimi tuzidi kulearn TRADING SYSTEMS MBALI MBALI.
 
FIRST SELL(LONG).jpg
 
Capture.PNG


Nimekutana na hii clue mahali, Kutokana na nilivyosoma naona 70% itaakuwa kweli. Je ni kweli itakuwa hivyo.?

Guys.. this is going to be a big one! Are you prepared to collect no less than 1500pips on a single trade? If you were to make your whole year's salary from this trade, are you prepared to hold and forget about it even until the end of the year?... Well I am.. we have taken our positions and will add along the way throughout the year. £100k to £1m by the end of the year! Best believe that!

CC: Ontario, Bavaria, Lizarazu na wazoefu wote wa forex.
 
Bidii yako na nia ya dhati ya kutaka kufanikisha jambo, ndio mafanikio yako.Mi nawakubali sana watu wanaokatishaga tamaa, dawa ya mtu anayekukatisha tamaa ni kunyamaza fanya bidii ya kufanikiwa ukifanikiwa yeye atanyamaza na wewe ndo utakuwa mda wako wa kuongea. Vijana tuinuane tuijenge nchi, na yeyote anayekata tamaa ni mvivu, yan watu mnatafuniwa kumeza mnaona uvivu looh!!
 
Tangu saa 12 asubuhi napitia huu uzi, hatimae nimefanikiwa kuumaliza wote.
Kinachofuata ni kuanza kusoma vitabu kwa umakini wa hali ya juu, nime amua nichukue likizo kabisa mwezi ujao ili nipate muda wa kutosha.

After kusoma na kuelewa ndio nitahitaji darasa lako mkuu ONTARIO i hope mambo yako yatakua yameshakaa sawa na pia hao 150 wakwanza watakua washaanza kupiga pesa.

Shukrani kwa kutufumbua macho na Mungu akusaidie mambo yako yaende kama ulivyo panga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom