Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Yeah. Si kitoto.
Utafanya analysis zako zikasema GBPUSD ipo bullish. Ukaopen position zako ukaendelea na mishe zako.
Baada ya nusu saa mabomu yakalipuka London, we huna habari.
Badala ya Bullish ngoma ikageuka Bearish, ukajisahau hata SL hukuweka.
Tutakuokotea muhimbili ICU.
HAHAHA alafu ndio hakuna SL kwenye trade. Lazma ufuatwe muhimbili
 
unadaunlod toka google drive kisha unaextract hilo folder kwa win rar ama 7zip

hiyo ni basic knowladge ya pc kaka, download na extract

Umeangalia vyema uliyekuwa unahitaji kumquote.?

Umeangalia vyema ni nani aliyepost hizo video zilizo katika google drive.?
 
unazngua bro koz inaonesha hata huu uzi hujausoma vzuri umesoma tuu mwanzo then ukakurupuka
kuhusu suala ya idadi ya watu ilishapunguzwa na kua 150 sasa ww nakushangaa bado unalilia 300
soma kitu kwanza elewa bac hata kdogo washkadau wengine wameongea nn kuhusiana na hii ishu co kukurupuka tuu
Sikiliza bro kuhusu idadi kupunguzwa ndo sijaliona ila hii biashara ya forex sijaanza leo kulifuatilia na nilishawasiliana na mabroka kibao ila jinsi ya kufanya hiyo biashara bado haijaniridhisha ila sasa kama mamentor na maajent walishafika sina budi kujitosa watu wengi walishani inspire lakini sikuwa na connection kama ilivyo hii ya Ontario na pia watanzania imani yetu ni ndogo sana na sisi ni waoga sana, wakati matumizi yetu ya pesa ambayo hayana tija yanazidi haya ya uwekezaji kwenye biashara. Na pia tuna penda vya bure tulipie fursa itulipe... na kama hao 150 tayari mimi nitalipia na hatulili fursa tunatafuta fursa bro ahsante.
 
Umesoma kitabu cha Naked Forex sehemu ya tatu?
Manage lot size yako..

Mkuu msaada tutani. Kuna hizi single candle pattern zinaonekana kama zipo same, lakini wamezigroup tofauti.

Doji, Hammers, spinning tops, shooting stars, twizzers.

Any word to them.?
 
Kaka ONTARIO nimesoma uzi wako vizuri, hongera sana kwa kutokuwa na roho ya ubinafsi. Lakini nina maswali mawili
1. Hao watu 300 wanapatikana vp?
2. Ni vitabu gani tusome ili tuanze kuondoa tongotongo machoni?
pitia huu uzi taratibu utaona vitabu vime wekwa humu vikiwa ktk Pdf. format kwa hyo n ww tu kudownload
 
"You can make money trading when the market moves up, and you can even make money when the market moves down.

BUT you will have a very difficult time trying to make money when the market doesn’t move at all" kwa hisani ya babypips.com School of Pipsology
 
ONTALIO ni hivi kuna watu 300 watapata fursa ya kujiunga sasa kwa wale 300+ watapaje hili darasa ikiwa darasa limejaa na wana nia ya kujifunza? Angalia kwa upande wa pili Mkuu hata kwa malipo ili tufaidike wote
NI WAZO LANGU LAKINI
 
pitia huu uzi taratibu utaona vitabu vime wekwa humu vikiwa ktk Pdf. format kwa hyo n ww tu kudownload
Shukrani sana, nilikuwa bado sijajua kama mzigo upo hapa.
Ngoja nikapakue asee
 
Nifundishe hii pair unaipigaje mkuu maana na Mimi nataka nianze japo uzoefu haujakomaa naendelea kujifunza
Sio swali langu lakin ukitaka pair kama hiyo zinakua zime orozeshwa kwa broker...ziko nyingi sio hiyo tu...kuna AUDEUR, USDJPY and the list goes...
 
Kaka ONTARIO nimesoma uzi wako vizuri, hongera sana kwa kutokuwa na roho ya ubinafsi. Lakini nina maswali mawili
1. Hao watu 300 wanapatikana vp?
2. Ni vitabu gani tusome ili tuanze kuondoa tongotongo machoni?
Ni watu 150 sio 300 tena!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom