Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
View attachment 528139

kuna mzigo wa video tutorials, recorded webinars pamoja na E-books kuhusu FOREX kama GB 32 ambazo zimenisaidia sana kujua strategies na techniques kibao za trading. ningependa kushare mzigo wote huu kwa yoyote atakayehitaji free, ishu nina upload vipi na wapi hizi GB32 ili atakayetaka aupate mzigo huu?? site nyingi nilizokua napakua mizigo hii zimepigwa chini sina link now! kama una idea usije inbox, carbon copy hapahapa wote tujadili!!

Very simple... Tumia Google cloud...
Create a Temporally Google account
(A single Google Account is a combination of Email address, Google Cloud, Google Map, Youtube, Google Chrome etc)
Weka hizo mambo kwenye Cloud (ina support hizo GB na zaidi ya hizo)
Then njoo hapa utupe address (link ya hiyo email + password if any)
Kila mtu atapakua mzigo kulingana na access yake ya internet.
Mweye kujiunga bando la 32GB haya, mwenye kutumia Wi-Fi ya chuo haya..
Naongea kama Networking Engineer...
 
Kweli aisee
Uzi haukimbii tenaa...
Binafsi nemekwama kwenye trend line. Nlimuomba msaada mkuu BAVARIA naona kimyaa sijui ndo kanipotezea au majukumu yana mbanaa..
Bado nasubiri
Ntantau!! wala usikate tamaa ukiona uzi upo cool ujue watu wapo chimbo na kitabu ndio kimekolea haswa. Yani hadi sasa ivi kuna watu ambao hata jf ikifungwa leo wao lazima wata tusua tu through this opportunity (forex) Kwa maelezo aliyotoa Mkuu Ontario na michango ya wadau wengine akiwemo Bavaria yametoa mwanga kwa kiasi kikubwa sana so kwa wale wazee fursa hapa tayari wameshatoka kimaisha. so cha msingi usikae kusubiria msaada zaidi endapo utaona unachelewa kuupata jiongeze mkuu. Ngoja nimalizie kipengele cha trending lines then na mimi nitashare hapa nilchokipata wakati tunawasubiri ma Pro wetu waje washushe nondo. WHEN THE GOING GET TOUGH ONLY THE TOUGH WILL GET GOING
 
ha
Shukran sana mkuu umenisaidia kuwajibu kirahisi....ila jibu kamili ni jamaa ni mvivu hajasoma comments angesoma asingeuliza swal kama hlo...ndio maana nikamwambia arudie kila neno ajue wap pa kufanyia na hatauliza tena
haahahah asanteeeee
 
We jamaa unanifamya nitaman kuacha shule haka ka mwez ka moja kalikobaki.. Najiona napoteza time nyng huku chuo

Kabisa boss hii kitu ni more worth kinoma. Cha muhimu kusoma izo book bila kuacha nukta.
 
d
Mkuu, sio kila kitu yafaa kubembeleza, kapewa maelezo, kuna gharama gani kuyafuata? ... apitie asome taratibu... naona hapo kajibu hakuna post iliyosema hvyo... kwa akil zake yeye.... yaaan comments zote hz, hakuna mtu alie uliza swali alilo uliza yeye
duuuuh kazi ipo humu, asante na ww
 
ONTARIO
Nimepata wazo.
Unaonaje kwenye hiyo ofisi yako ukawa na Traders Lounge? Yani unakuwa na ukumbi ambao una AC, Wifi, na facilities zote zinazomuwezesha traders kumake money?
Hiyo traders lounge inawakutanisha wale wote wanaofanya live trade toka sehemu mbalimbali za Tz. Kwahiyo wanakuwa wanakuja hapo, inakuwa kama ofisi yao. Wanakutana wana discuss strategies mbalimbali na wanafanya trade zao 'live' hapohapo.
Inakuwa kama lounge fulani hivi..
Na kwa kuanzia, malipo tufanye yanakuwa kama 200$ kwa mwezi kwa kuanzia.. Hiyo inakuwa membership fee.
Hilo ni wazo langu..
Safi
 
Very Simple.

Ukitaka kuchora trend lines, unachora kwenye resistances and supports.

Ukishaweza kujua resistance au support ipo wapi, basi kazi umeshamaliza..

Au unaweza kutumia fibonacci kuangalia resistance au support..

Keep reading boy.

Boss after kupumzika kwa muda wakati nasoma nimepata tena mwanga na tumaini jipya, Siyo siri hapo kati imani yangu ilitetereka somehow katika hii biashara. Kwa maana nilikomaa na basics, hususan nikatia energy ya kutosha katika indicators, ghafla bin vuu, mkuu ontario kaibuka na akasema indicators ni laggish, wewe nawe ukatokea na kusema indicators zilikuingiza chaka.

Nilikuwa na video tutorial ya Joseph nemth yeye anaita patten ni bulshit na stop loss haipaswi kuwepo kwani inakupotezea pesa na inapaswa ucheze kavukavu bila stop loss. Ikanibidi niweke pause kidogo. Nikaanza kujiuliza, hivi vyote ninavyosoma mbona vinakuwa rejected na criticized.? if so,What is the perfect way to take reaching me to the pinnacle of FX biz. Wakati najiiuliza hayo nishakamua CT for dummies mpaka nimemaliza indicators zote, Pattern, trading strategies nk.

Nikajipa likizo ya wiki nzima kutoshika forex, ili nijijengee self confidence tena, here i am Nimeshika tena kitabu this time cha ASTRO FX alichorecomend ontario, nimeanza tena kusoma upya risk management measures, understanding of support and resistance upya na now nipo katika price action na how to analyse market using price actions kwa msaada wa pattern. So far nimekuja gundua kuwa hizi ndo zinakupa kibali cha kuchora trend lines with the aid of top down analysis. Nikakumbuka usemi usemao "WINNERS NEVER QUIT"

So far leo nimekomaa na analysis ya Gold, na kwa baada ya muda nimeona gold ipo na horizontal trend with support and resistance kama inavyoonekana. Nilisetup nikajinyakulia 100+ pips kwa position ya 0.01, Nimejipatia faida ya dola 1+. So far so good.

agold.PNG
 
View attachment 528186
Usivunjike moyo.
You are still a newbie. You have a very long way to go.
Tatizo sio kuwa criticized kwa trading strategy moja au mbili.
Ila kila mtu ameshatengeneza strategy yake inayofanya kazi kwake na ikamletea faida.
Ushauri wangu: Soma na sikiliza kila mtu anachosema au kuandika. Ukishakuwa comfortable, andaa strategy yako unayoamini itakuletea faida na anaona nyingine hazifai.
Mtu mmoja asikubadili mawazo ila awe chachu ya kukufanya uwe mdadisi zaidi kwenye kile anachokiamini.
Kwenye forex kuna hundred and thousand ways of trading strategies ambazo watu wanatumia.
So, its up to you to create a better strategy that works for you.
 
Usivunjike moyo.
You are still a newbie. You have a very long way to go.
Tatizo sio kuwa criticized kwa trading strategy moja au mbili.
Ila kila mtu ameshatengeneza strategy yake inayofanya kazi kwake na ikamletea faida.
Ushauri wangu: Soma na sikiliza kila mtu anachosema au kuandika. Ukishakuwa comfortable, andaa strategy yako unayoamini itakuletea faida.
Mtu mmoja asikubadili mawazo ila awe chachu ya kukufanya uwe mdadisi zaidi kwenye kile anachokiamini.
Kwenye forex kuna hundred and thousand ways of trading strategies ambazo watu wanatumia.
So, its up to you to create a better strategy that works for you.

Ulichokiongea hapa ndo kilinijia baada ya kujitafakari. Na mwisho nikaamua kurudi kwa kasi ya kimbunga.
 
Ulichokiongea hapa ndo kilinijia baada ya kujitafakari. Na mwisho nikaamua kurudi kwa kasi ya kimbunga.
Ndio maana toka mwanzo watu wamekuwa wanasisitiza soma soma soma. Kwasababu unavyozidi kusoma ndipo unapata mwanga zaidi wa kukutana na mambo mapya kila siku.
And the more you read, you pack yourself with various tools that will help you conquering the forex business.
Mwisho wa siku unaweza kujikuta una tools kama 100 ambazo utaanza kuzijaribu hadi upate ile inayokutengenezea faida na upo comfortable nayo.
 
well boss, naamini every pro amepitia niliyopitia/ninayopitia mimi.
 
Define the following terms as applied in forex.
1. Pip
2. Pipette
3. Point
4. Bull
6. Trendline
7. Bear
8. Cross currency
9. Pair of currency
10. Long and short

Ukiweza kuyajibu bila kugoogle basi tafuta app inaitwa mt4 au mt5 anza na demo! Kama umeshindwa kujibu walau terms 9 basi kaa mezani anza kusoma basics of forex!!

Haaahaaaahaaaa
 
It has been a while mimi kuingia na kukuta Resource full info nzuri hivi
Asante sana mtoa mada,ni mimi nipo interested for sure...Labda kuelewa zaidi hii ,i need to do my homework first...
 
Kiukweli mpaka sasa juhudi za watu binafsi zinaonekana
1.Kuna watu tayari eameshafungua live account
2. Watu wamejiunga magroup telegrams na whatsup
3. Watu wameanza kukutana na kushare knowledge kiduchu waliojisomea kutoka kwa vitabu na kupitia YouTube
4. Kuna group la what's up wamepata mentor kutokea South Africa naskia wapo makundi 2 moja lipo stage 2...

Ontario atakuwa na kazi rahisi kuendeleza kwa kuwa sasa watu wanajua maana ya Sell stop, Buy Stop, Sell limit, Buy limit. stop loss Take profit

Leverage, broker candle sticks, go long , go short, broker, bullish& bearish, opening & closing sessions, lots size, equity balance.

Mpaka hapa wengi walikofikia Ontario anastahili pongezi , na akianza darasa wanafunzi wake hawatamsumbua sana nazani atakua anafundisha zaidi trading strategies & market pattern analysis na Sio what's Forex[emoji112] [emoji112] .
Kiu ya Forex haijawahi kumwacha MTU salama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom