CCNP Engineer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 463
- 1,286
View attachment 528139
kuna mzigo wa video tutorials, recorded webinars pamoja na E-books kuhusu FOREX kama GB 32 ambazo zimenisaidia sana kujua strategies na techniques kibao za trading. ningependa kushare mzigo wote huu kwa yoyote atakayehitaji free, ishu nina upload vipi na wapi hizi GB32 ili atakayetaka aupate mzigo huu?? site nyingi nilizokua napakua mizigo hii zimepigwa chini sina link now! kama una idea usije inbox, carbon copy hapahapa wote tujadili!!
Very simple... Tumia Google cloud...
Create a Temporally Google account
(A single Google Account is a combination of Email address, Google Cloud, Google Map, Youtube, Google Chrome etc)
Weka hizo mambo kwenye Cloud (ina support hizo GB na zaidi ya hizo)
Then njoo hapa utupe address (link ya hiyo email + password if any)
Kila mtu atapakua mzigo kulingana na access yake ya internet.
Mweye kujiunga bando la 32GB haya, mwenye kutumia Wi-Fi ya chuo haya..
Naongea kama Networking Engineer...