Wewe unatumia Bank gani?Ni kwa njia ya bank mkuu kama utakavyo iweka ndivyo utakavyo itoa.. Ila sio kila bank kuna baadhi ya bank zinasapot hiyo huduma. Online transaction
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unatumia Bank gani?Ni kwa njia ya bank mkuu kama utakavyo iweka ndivyo utakavyo itoa.. Ila sio kila bank kuna baadhi ya bank zinasapot hiyo huduma. Online transaction
View attachment 532904
Analyisis yangu kwenye EUR/JPY 15min chart inanionyesha Falling wedges pattern. Nitabuy trend yangu ikibreak upper line kwenye green arrow, Stop loss yangu itakuwa chini ya hiyo candle itakayobreak kwenye green arrow, na take profit yangu itakuwa sawa na distance ya blue dots. Niko sahihi bosses Bavaria na ONTARIO ?
EUR inaanguka sanaa Leo sijui kuna news gani mbaya.....
But kuna news za unemployment Germany nadhani zimeangusha sana Euro Leo mkuuuHakuna news yeyote, kwa experience traders walikuwa wanaona kabisa Euro ipo kwenye over bought na siku yeyote wakati wowote itaanguka..
Next week tegemea Euro kuanguka vibaya sana mpaka demand and supply zimeet at equilibrium.
But kuna news za unemployment Germany nadhani zimeangusha sana Euro Leo mkuuu
Kama unaangalia EURusd ilifika mpk 1.4398 .... sema after that news imeshuka sanaaInaweza ikawa. Ila sio kila kitu news inahusika.
Demand and Supply nayo inahusika pia..
KA DOLA 1000 duuh umetisha arifu!!![]()
Kesho nazipeleka First National Bank Kwa ajili ya forex trading,nitaanza kutrade baada ya ONTARIO kuniruhusu; ni ka $1000 nadhani katatosha Kwa kuanzia.
Mkuu samahan kwa usumbufu unaweza kuelezea na pip kidogo na jinsi ya kungaliaJE UNAUNGUZAJE ACCOUNT?
Kwanza nianze kwa kutoa pongezi kwa umoja wa nchi za ulaya maana this week shiling yao imefanya vizuri sana, pia nitoe pole kwa USA ambaye week hii shilingi yake imepitia wakati mgumu sana!!
Leo nimeona si mbaya tukijulisha ni vipi unaweza unguza account?? na je ni vipi unaweza jiepusha na kuunguza account??
Tuanze na hii interface ya MT4 kama inavyoonekana...
View attachment 533296
Kutoka kwenye picha...
Balance.
Hii inaonyesha kiwango ulichoweka ukijumlisha na faida. Open positions hazina effect kwenye balance. Balance inabadilika ikiwa tu ume close position either kwa loss au faida!
Equity/Trading equity.
Hiki nikwango cha pesa utachobaki nacho ikiwa positions zote zimefungwa. Kwa lugha rahisi ni jumla inayobaki baada ya kutoa hasara na ukijumlisha faida katika kila position zinazo-run (unrealized profit and loss).
Equity = Balance – unrealized loss or profit.
So ukiwa huna running positions, Equity = Balance.
Kama ukiwa na open trades/position mara nyingi balance inakua kubwa kuliko equity.
Margin
Ni kiasi cha pesa kinachohitajika ili ku-open positions. Ukiwa na margin ndogo huwezi kufungua position au hutaweza kufungua trades! Hiki kiasi kinatolewa kwenye equity ili uweze ku-open new positions.
Margin Level
Hii ni ratio ya Equity na Margin
Margin level = (Equity/Margin) *100
Equity ikiwa kubwa margin level pia inakua kubwa, Margin ikiwa kubwa Equity inakua ndogo.
SASA NI VIPI UNAUNGUZA ACCOUNT?
Kabla sijasema ningependa niongeze maneno mawili ili twende pamoja!
Rejea hii formula…
Margin level = (Equity/Margin) *100
1. Margin call
Hii ni level ya margin level ambayo ikifikiwa tu, kwanza unapewa warning na broker wako kwamba hauna kiasi cha kutosha kufungua new positions au kuhimili positions zinazorun hasa zinazorun in loss!! Kila broker ana level yake ya marginal call, wengi ni 50% ila wengine mpaka 100% of marginal level!
Ikiwa equity ni ndogo kuliko margin, hapa ndio tatizo linapoanza. Na ikiwa margin ni nusu ya margin hapa utapewa warning na broker wako!!
Stop out level
Hii level inafikiwa ikiwa Equity level ni ndogo sana kuliko margin. Mfano margin level ikifika 20% (hii inategemea na brokers, inatofautiana) hapa ndio utaona moto unawake kwenye account yako! Wataanza kufunga position moja baada ya nyingine! Mara nyingi wanaanza na position yenye loss kubwa!!
Jua wakiwa wanafunga positions wanakata ile loss ya kila position mfano kama una loss ya -12 USD wataikata kwenye balance yako mpaka zote ziishe!!
Na ikifikia hii level jua ndio account imeungua!!
JUST A PIECE OF ADVICE!
Wakati unachagua broker usiangalie tu mwenye bonus jitahidi pia kuangalia broker mwenye margin call ndogo na Zaidi ya yote angalia broker mwenye margin stop out level ndogo kwa usalama wako!!
Na wakati una trade hakikisha marigin level haishuki chini ya 50%
Angalia leverage unayotumia isiwe kubwa sana(unaweza pia kuchagua kubwa ila uwe makini), pia kuwa makini unapofungua positions (zenye position size kubwa) nyingi zinazorun katika loss maana hizi mara nyingi ndio chanzo cha kuunguza account!!!
Tuko pamoja!!
Lodrick Thomas (Eng.)
Hivyo ni tuviela tudogo tu we ngoja uje kuwa guru wa forex utanikubali ninachokwambia,kama ONTARIO anapiga pesa ya mafuta ya gari yenye CC2400 ndani ya masaa kadhaa,sembuse ivyo tuviela vya mboga,ila simaanish ni pesa ndogo ni nyingi ila naamin tutamilik zaidi ya hiyo,FX sio mchezo wa nguvu ya buku, FX ijue nguvu ya PIPs,KA DOLA 1000 duuh umetisha arifu!!
BTW una undugu na chenge??
Mkuu me bado sijajishusha kwa live Acc.. Coz bado najinoa.. Ila ukipitia nyuzi utaona kuna baadhi ya bank wadau wamezitaja.. Kama FNB bank, , na nyingine ambazo wanatoa master card,/Visa card..Wewe unatumia Bank gani?
Haupo sahihi kabisa mkuu.
15 minutes ni muda mfupi sana kiasi kwamba unamaliza kufanya analysis zako chat zimeshabadilika..
Ulitakiwa uanze na time frame kubwa, ndo uje kwenye timeframe ndogo kwenye kufungua position zako.
Analysis fanyia kwa Monthly, Weekly and Daily.
Open your position at H4 and H1.
For scalpers may use 30, 15 and 5 minutes kwenye kufungua position zako..
Hapo umeingia chaka..
kamba zinaruhusiwa!Mkuu jumamosi hii hakuna trading
kwa bongo ni bank zipi na zipi??Ni kwa njia ya bank mkuu kama utakavyo iweka ndivyo utakavyo itoa.. Ila sio kila bank kuna baadhi ya bank zinasapot hiyo huduma. Online transaction
Kweli mkuu demand na supply ni factor muhimu pia.Inaweza ikawa. Ila sio kila kitu news inahusika.
Demand and Supply nayo inahusika pia..
hahahahahhahahahah🙁🙁🙁🙁 hahahaha umemkamata. Hajui kuwa tarding ni 5days a weekMkuu leo weekend soko limefungwa[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ohhhh shit nilitaka kupaste sehemu nyingine niusome maana nilitoa kwa mdau ameupost hapo juu. Ngoja niufute maana unapotosha sikuwa najua mkuu.Fungua uzi wako.[emoji84] [emoji84]
Mkuu Mimi nipo nasoma kitabu ili niijue Saudi hii ForexNaomba Msaada wa kufungua demo account nianze kucheza nayo huku nikiendelea kujifunza, Ontario, Complex and any other who knows how to do it please mnisaidie.