Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Patience is paying.

My earlier head and shoulders pattern is now being pushed down bringing blues by the recent USD fundamental news

It is still demo guys and I am testing my arsenal ready for training from the boss ONTARIO

4a4bd7a0324b0ece2ba53fb77d89cc6e.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nije PM mara moja
 
I am not sure if this is principle, mi iko hivi FNB(Visa Card)____Broker the viceves, the process goes, FNB fungua saving account ina makato ya Tshs 4500 Monthly.

View attachment 566598

Wakuu wangu.... Niko katika mchakato wa kufungua accounts hizo hapo juu...
Kwa sisi wenye Mtaji wa Kudunduliza Suala la msingi ni kutaka kujua Fees (kitu ambacho wengi wanaki overlook)
Kwenye hizo herufi A mpaka F ni Fees husika kwa kila account.
Kuna Annual Fees, Monthly Fees (mfano nasikia FNB wanakata 16,000 kwa mwezi)
Kuna Withdrawal Fees, Deposit fees.

Ni vizuri tukazijua hizi fees na Best Bank accounts zenye minimum Charges (Especially hapo kwenye Local Bank na Payoneer)
Kwa wale wenye Mitaji midogo hili suala ni la muhim kufanya consideration.
Lakini kama mtaji wako ni mkubwa na transaction zako ni kubwa kubwa nadhani huna haja sana ya kuwaza kuhusu charges.
Kuna aliefungua accounts zote hapo anijuishe kuhusu Charges (hasa kwenye Banks) ili niepukane na Bank zenye makato ya juu yanayoweza kuwa yanakula Significant Percent ya Faida na Mtaji wangu??
 
I am not sure if this is a principle, mi iko hivi FNB(Visa Card)____Broker the vicevesa, the process goes, FNB fungua saving account ina makato ya Tshs 4500 Monthly. Hiyo uliyoandika hapo is just an option, for my view, Skrill also should go to your account during your deposit to them, then after your Skrill account has equity its when you deposit to a broker, but your withdrawal of your profits from broker are directly taken from Skrill as your best option done by you in your Forex account, somebody can correct me. Ila kwa mimi binafsi, situmii Skrill ila processes zote ziko vizuri.
 
View attachment 566598

Wakuu wangu.... Niko katika mchakato wa kufungua accounts hizo hapo juu...
Kwa sisi wenye Mtaji wa Kudunduliza Suala la msingi ni kutaka kujua Fees (kitu ambacho wengi wanaki overlook)
Kwenye hizo herufi A mpaka F ni Fees husika kwa kila account.
Kuna Annual Fees, Monthly Fees (mfano nasikia FNB wanakata 16,000 kwa mwezi)
Kuna Withdrawal Fees, Deposit fees.

Ni vizuri tukazijua hizi fees na Best Bank accounts zenye minimum Charges (Especially hapo kwenye Local Bank na Payoneer)
Kwa wale wenye Mitaji midogo hili suala ni la muhim kufanya consideration.
Lakini kama mtaji wako ni mkubwa na transaction zako ni kubwa kubwa nadhani huna haja sana ya kuwaza kuhusu charges.
Kuna aliefungua accounts zote hapo anijuishe kuhusu Charges (hasa kwenye Banks) ili niepukane na Bank zenye makato ya juu yanayoweza kuwa yanakula Significant Percent ya Faida na Mtaji wangu??
Good
 
Samahani unaweza kutuongoza step by step. Like Open...go to...

Namimi nna tatizo hilo pia na napenda kujua.

Thanks
Sawa mkuu. Step by step procedures za ku-enable One Click Trading kwenye MT4 PC version ni Tools / Options / Trade / One Click Trading (check box)/ Accept Terms and Conditions / OK / OK

Baada ya hapo: Right Click / Select One Click Trading

A nice & small window will pop up. Tumia hiyo kwa fast opening of positions

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari gani waungwana?

Kwa wale wenzetu wenye ufahamu wa forex trading naomba ufafanuzi. Nimefungua account na XTRADE.COM jamaa wakaniambia initial deposit ni US$100 nikadeposit, nikaambiwa nitapewa mtu wa kunielekeza namna ya kutembea na platform, jamaa amewasiliana na mimi.Baada ya mazungumzo ya muda kidogo na maswali ya hapa na pale akaniambia kwa amount hiyo siwezi kufungua position zaidi ya moja labda kama nitaongeza Equity kufika angalau US$500. Hii imekaaje?. Naomba msaada kwenye tuta ONTARIO , Complex , MWANA WA NGURUMO et al.
 
Kwa wenzetu wenye uelewa mkubwa na wa muda mrefu chini ya $500 au $1000 hawawezi kutrade kwa sababu wanaamini ukiwa na pesa kidogo uwezo wa kucontrol risk ni mdogo mnoo,kiasi kikubwa ukiwa na $100-400 uwezekano wa kupoteza ni mkubwa mnoo.........na hii ni kweli maana huku sisi wenye mitaji midogo tumekuwa tukipoteza mara kwa mara.......hilo wanalokushauri ni sahihi kabisa ila unaweza kufungua hata position 3 ila lot size isipungue 0.01......ukikosea ukazidisha tu unakatwa kichwa!!

Dooh
 
Habari gani waungwana?

Kwa wale wenzetu wenye ufahamu wa forex trading naomba ufafanuzi. Nimefungua account na XTRADE.COM jamaa wakaniambia initial deposit ni US$100 nikadeposit, nikaambiwa nitapewa mtu wa kunielekeza namna ya kutembea na platform, jamaa amewasiliana na mimi.Baada ya mazungumzo ya muda kidogo na maswali ya hapa na pale akaniambia kwa amount hiyo siwezi kufungua position zaidi ya moja labda kama nitaongeza Equity kufika angalau US$500. Hii imekaaje?. Naomba msaada kwenye tuta ONTARIO , Complex , MWANA WA NGURUMO et al.
Je yeye anasema utakua unatumia position size ya ngapi?

Au kama umeanza ku trade unatumia position size ya ngapi??
 
Good afternoon pips hunters
Jamani hii pairs kwa wale tunaopenda kutrade kwa kutumia cross over mara nyingi hii pairs kwangu mimi haijawahi kuniangusha its always on my side ingawaje nafanya demo but I wish nikiwa na real account iwe hivi hivi
Ni EURO/ZAR Ukisell ni tamu ukibuy ni tamu

ngoja niicheki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari gani waungwana?

Kwa wale wenzetu wenye ufahamu wa forex trading naomba ufafanuzi. Nimefungua account na XTRADE.COM jamaa wakaniambia initial deposit ni US$100 nikadeposit, nikaambiwa nitapewa mtu wa kunielekeza namna ya kutembea na platform, jamaa amewasiliana na mimi.Baada ya mazungumzo ya muda kidogo na maswali ya hapa na pale akaniambia kwa amount hiyo siwezi kufungua position zaidi ya moja labda kama nitaongeza Equity kufika angalau US$500. Hii imekaaje?. Naomba msaada kwenye tuta ONTARIO , Complex , MWANA WA NGURUMO et al.
mkuu huyo jamaa yuko sahihi mana hategemei kufungua position moja,wenzako wanafikiria kufungua position 2 au 3 at the same time za currency pair tofauti, ni uamuzi wako kama utakomaa na position 1 tu mpaka utakapo pata mtaji mkubwa
 
Good afternoon pips hunters
Jamani hii pairs kwa wale tunaopenda kutrade kwa kutumia cross over mara nyingi hii pairs kwangu mimi haijawahi kuniangusha its always on my side ingawaje nafanya demo but I wish nikiwa na real account iwe hivi hivi
Ni EURO/ZAR Ukisell ni tamu ukibuy ni tamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii pair ni habari nyingine aisee!
 
Habari gani waungwana?

Kwa wale wenzetu wenye ufahamu wa forex trading naomba ufafanuzi. Nimefungua account na XTRADE.COM jamaa wakaniambia initial deposit ni US$100 nikadeposit, nikaambiwa nitapewa mtu wa kunielekeza namna ya kutembea na platform, jamaa amewasiliana na mimi.Baada ya mazungumzo ya muda kidogo na maswali ya hapa na pale akaniambia kwa amount hiyo siwezi kufungua position zaidi ya moja labda kama nitaongeza Equity kufika angalau US$500. Hii imekaaje?. Naomba msaada kwenye tuta ONTARIO , Complex , MWANA WA NGURUMO et al.
Mkiambiwa muwe na subira muwe mnaelewa. Usione watu wanasoma ukazani ni washamba sana boss.

Sina cha kukushauri boss wangu wewe komaa nao tu maana siwezi kukusanya vitu ambavyo sikuvitawanya. Sometimes kujifunza in the hard way is the best way to understand.

All the best bruh!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom