Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kwani mkuu inabidi huu mchakato uwe NA MasterCard ngapi? Kuna local banks eg ABC,kuna payoneer nayo si unakua NA MasterCard yake,then inafuata hiyo MasterCard isiyo NA ac? Naomba msaada hapo mkuu
Kwa kifupi tunalazimika kutafuta njia mbadala na salama kwa business hii ya fx, local banks nyingi sio rafiki so ndio maana nilishauri angalau kukwepa vikwazo vya bank kuhold pesa unapojaribu kutuma pesa kwa boker bora ufungue skrill walet ili uwe unajitumia pesa kwa njia ya master card isiyo na acc, yaani multicurrency master card, au bank rafiki kiasi kama fnb, barclays, equity au abc. Ukikwama kabisa njoo pm ili tusiwachanganye wengine
 
Ok
 
Nisaidien ndg zangu Niko natrade through démo cjajua bado jns yakupata faida au hasara kama mnavyoona kwenye screen shout apo
 
Kwa kifupi tunalazimika kutafuta njia mbadala na salama kwa business hii ya fx, local banks nyingi sio rafiki so ndio maana nilishauri angalau kukwepa vikwazo vya bank kuhold pesa unapojaribu kutuma pesa kwa boker bora ufungue skrill walet ili uwe unajitumia pesa kwa njia ya master card isiyo na acc, yaani multicurrency master card, au bank rafiki kiasi kama fnb, barclays, equity au abc. Ukikwama kabisa njoo pm ili tusiwachanganye wengine
Mkuu ungetoa ufafanuz tu hapa kwa msaada wa weng
 
Kwa kifupi tunalazimika kutafuta njia mbadala na salama kwa business hii ya fx, local banks nyingi sio rafiki so ndio maana nilishauri angalau kukwepa vikwazo vya bank kuhold pesa unapojaribu kutuma pesa kwa boker bora ufungue skrill walet ili uwe unajitumia pesa kwa njia ya master card isiyo na acc, yaani multicurrency master card, au bank rafiki kiasi kama fnb, barclays, equity au abc. Ukikwama kabisa njoo pm ili tusiwachanganye wengine

FNB wako Poa Sana I can Declare nawashauri wadau Tumieni FNB. CRDB Iendelee Kuwezesha Kilimo tu.
 
Kama uko Mbeya na maeneo ya ajiran na unataka training ya Ontorio ije mbeya tukutane kuweka mikakati kupitia link hii
Forex Mbeya
 
TO: KANIGI MADAKI
ADD: DAR ES SALAAM.

How is morning? I've received an email from instaforex regarding you and being stopped to trade after making $100 profit on your bonus account you created through my link.
I didn't know if they hold your account after reaching certain amount of profit.
I really feel bad about this, I feel as if I've let you down.
Still you have made me think that everything is possible, I started with $1000 account, gone through series of losses and now I have less than $100 in the same type of account you managed to make $100!
Kanigi, I don't know what to tell you, but if you are reading this, you have inspired me a lot!
I want you to be cautious, instaforex is not a regulated broker, so think well before going for the next step.
All the best bro!
-Amlight.
 
Jamani kuna kundi la telegramu forex naomba linki yake.

Linki ilitolewa siku za mwanzo kabisa wakati huu uzi unaanza natumia simu nimeshindwa kuipata coz pages nyingi sanaa.

Moderators pliz do the needful lile kundi la telegramu liko active sana

Pliz msaada jamani
 
Hivi humu wakina forex mpaka sasa mmefika wapi? Mbona stories hazishi! Wadau nani ameshakuwa milionea au japo kutengeneza visenti vya maana atupatie ushuhuda kidogo! Asanteni wana forex!
 
Kwa wale wa Kanda ya Kaskazini yaan Arusha, Moshi na Babati na viunga vyake bonyeza link TMT huyo atawapa maelekezo<br />Forex Northen Tz
 
Sema wachaga, siyo wa kanda ya kaskazini! Mmeshaanza kuleta vikundi vya ukabila na ukaskazini hata kwenye forex hewa? Nini wewe mzee wa chadema!
 
TO: KANIGI MADAKI
ADD: DAR ES SALAAM.

How is morning? I've received an email from instaforex regarding you and being stopped to trade after making $100 profit on your bonus account you created through my link.
I didn't know if they hold your account after reaching certain amount of profit.
I really feel bad about this, I feel as if I've let you down.
Still you have made me think that everything is possible, I started with $1000 account, gone through series of losses and now I have less than $100 in the same type of account you managed to make $100!
Kanigi, I don't know what to tell you, but if you are reading this, you have inspired me a lot!
I want you to be cautious, instaforex is not a regulated broker, so think well before going for the next step.
All the best bro!
-Amlight.
Ongeza dollar 1000, utapata, husikate tamaa! Mungu atakusaidi. Cheers!
 
Kuna master card ya multicurrency hii unajaza pesa kwa ajili ya manunuzi au ikiwa unasafiri popote duniani utatoa pesa atm yenye master card kwa local currency ya nchi husika, hii inafaa zaidi kwa kutuma pesa to skrill to broker.
Kuhusu anuani andika mtaa, p.o.box haikubaliki
Mtaa gani? Congo, kariakoo? Eti multi-currency! What about charges za kutoa pesa nje? Unajua ina gharimu kiasi gani? Wacheni kupeana moyo kwa biashara zisizo na tija.
 
Kwani mkuu inabidi huu mchakato uwe NA MasterCard ngapi? Kuna local banks eg ABC,kuna payoneer nayo si unakua NA MasterCard yake,then inafuata hiyo MasterCard isiyo NA ac? Naomba msaada hapo mkuu
Msaada ni achana na hiyo forex na kadi uchwala.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom