100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Hakuna indicator iliyo accurately kwenye forex kuna website inaitwa forexwinners.com kuna hizo taka taka zote za indicators za kila haina,indicators always zina lag hivyo mkuu usimpotoshe mwenzio,beginners wengi wanaamini sana kwenye indicators wanaamini labda traders wakubwa duniani wana tumia indicators amabazo ni za kipekee na za siri kitu ambacho si kweli.mimi hutoi buku tano unatoa pesa nzuri nakupa indicator ya 100% kisha nakufundisha mpaka una ielewa baada ya hapo una trade week ukipata hasara nakurudishia mtaji. kama bure tu kuliko mtu kwenda kwa ontario unatoa zaidi ya laki mbili na ushe na unarudi mbulula mashariti kibao wakati vitu viko ni kukaa chini tu
Traders wengi wakubwa wana trade simple patterns thats all,single trade anapata millions anatulia.
Kwa hiyo mkuu usiwatapeli wenzio si vizuri,kama we una indicator ina pull out profit ya kutosha una taka pesa za nini tena?Si ukae ndani u trade mpaka ununue lamborghini.
SCAM.