Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
mimi hutoi buku tano unatoa pesa nzuri nakupa indicator ya 100% kisha nakufundisha mpaka una ielewa baada ya hapo una trade week ukipata hasara nakurudishia mtaji. kama bure tu kuliko mtu kwenda kwa ontario unatoa zaidi ya laki mbili na ushe na unarudi mbulula mashariti kibao wakati vitu viko ni kukaa chini tu
Hakuna indicator iliyo accurately kwenye forex kuna website inaitwa forexwinners.com kuna hizo taka taka zote za indicators za kila haina,indicators always zina lag hivyo mkuu usimpotoshe mwenzio,beginners wengi wanaamini sana kwenye indicators wanaamini labda traders wakubwa duniani wana tumia indicators amabazo ni za kipekee na za siri kitu ambacho si kweli.
Traders wengi wakubwa wana trade simple patterns thats all,single trade anapata millions anatulia.
Kwa hiyo mkuu usiwatapeli wenzio si vizuri,kama we una indicator ina pull out profit ya kutosha una taka pesa za nini tena?Si ukae ndani u trade mpaka ununue lamborghini.
SCAM.
 
Huyo jamaa tapeli mkubwa, nina meseji zake inbox kwangu ananigia promo hizo indicators zake. Nilimgonga maswali kumbe kichwani mweupe kama unga wa sembe kuhusu forex
 
Mtu kama ana in

Kitendo cha kuanza kuandika kuhusu indicators mimi mwenyewe namuona kama ameanza forex, basi ana wiki mbili,hizo indicators mfano kuna hizi wanaziita holygrail Holy Grail | Forex Winners | Free Download bureeee zipo.
Ila ni ujinga tu hizo system hazijui news wala nini,huyu jamaa hana cha account yenye profit kama anayo aionyeshe ana dollar ngapi.
Mi nimeona watu wana trade kuanzia 1500 usd mpaka 4 usd million bila kutumia indicators it takes a time.
 
Mkuu mimi wala sikatai kwenye swala hilo...Point ni kwamba unafanya FOREX kwa sababu zipi???
Swali lako ni sawa na mtu akuulize, unafanya kazi kwasababu zipi... unaweza uliza mtu swal la namna hii?
 
KUWENI MAKINI NA MATAPELI WA FOREX WANAO DAI WANA INDICATORS ZA AJABU,HUO NI UTAPELI HUWEZI KUFANIKIWA FOREX KWA KUTEGEMEA HIZO INDICATOR.
 
Mi nashangaa mtu eti analipa ela kununua indicator daah aiseeh wanakwambia sijui strategies sijui nn yaani upuuzi mtupu
 
Wakuu heri ya pasaka sasa wakuu shida yangu hii nime download meta trade4 sasa napata shida kufungua demo account japo nimejisajili kwa fxtm account sijui wapi pakuanzia hapa kwenye meta trade4 watalaam mnisaidie maana nina account mbili nashindwa kuziingiza metatrade 4 japo nimeidownload sijui pakuanzia
 
Ingia YouTube mkuu, how to use MT4, kuna tutorial videos za kutosha
 
vipi kuhusu ETORO eToro - The World’s Leading Social Trading and Investing Network
Templer not a broker even by features spread is big, late execution, pop up window when you want to close trades faster (on pc mt4) not regulated and registered broker, they doesnt place your trades into banks their server and pcs is just an end.
If it happens i lose money in trading its better being taken by others from the market rather than made one person pockets(templer) with hard earned money
 
Swali lako ni sawa na mtu akuulize, unafanya kazi kwasababu zipi... unaweza uliza mtu swal la namna hii?
Mkuu hatubishani lakini huwezi kuwa serious FOREX trader then ukasema una anza na mtaji wa dola kumi...Nadhani hapa wengi hawaja tumia real accounts...na ninaamnini kuwa kwenye hili group wengi wame drop baada ya kuona uhalisia...
 
Mie mbona nilianza nao??

Kiasi chochote cha pesa mtu atakacho anza nacho hakina uhusiano wowote na u seriousness au kutokua serious, hiyo ni perception yako, wala usiiweke kwa watu wengine, wewe unaona kuanza na dolla 500 au 1000 ndio uko serious huyo ni wewe, haina maana kwamba kwakua wewe umeona kua serious basi lazima uwe na kianzio hicho basi mtu yeyote alie serious lazima awe na kiaz hicho, HAKUNA KITU KAMA HICHO

Kuna maonyo kila mahali yanasema INVEST WHAT YOU CAN AFFORD TO LOSE , hiyo 500 au 1000 dollars unaweza wewe ku AFFORD TO LOSE , usimweke mtu mwingine kwenye viatu vyako

Jambo la muhimu na msingi ni elimu, uanze na mtaj wa dolla lak, dola elfu kadhaa dolla 5, as long as una elimu SAHIHI wote safari yenu ni MOJA
 
Mkuu hatubishani lakini huwezi kuwa serious FOREX trader then ukasema una anza na mtaji wa dola kumi...Nadhani hapa wengi hawaja tumia real accounts...na ninaamnini kuwa kwenye hili group wengi wame drop baada ya kuona uhalisia...
Uko sahihi ila unasahau factor muhimu... Na kurudi katika uhalisia wa maisha ya mtz wa kawaida...
Skill ni muhimu zaidi kuliko mtaji, ndo mana hata mabroker wanatoa no deposit bonus ya pesa, sio skill.. Skills ndizo zitakufanya ujijue uko serious kias gani...

Kuna jamaa namfahamu alianza na mtaji wa $3000 lakini within 2 weeks akawa amechoma akaunt (This is True Story, cjatunga), na kuna wengine wameanza na $50 mpaka sasa akaunt zao zinasoma zaidi ya $250.

Who was more serious than the other?

Kuwa na mtaji mkubwa, wakati haujui unachokifanya, haimaanishi utafanikiwa.

The skills equals Seriousness. Kama huna skills, hata uwe na mtaji gani, utaishia kulalamika kuchoma tu, labda kama utaamua kununua tu signals, sio kutrade mwenyewe.
 
Hata ukinunua signal unaweza pigwa vile vile manake soko wakati mwingine linaweza badilika, so bila mtu kua skills anaweza asijue n nn kinaendelea sokon na n nn afanye kwendana na mazingira ya wakati huo, faster tu account inakumbwa na kifo cha mende
 
Mkuu hatubishani lakini huwezi kuwa serious FOREX trader then ukasema una anza na mtaji wa dola kumi...Nadhani hapa wengi hawaja tumia real accounts...na ninaamnini kuwa kwenye hili group wengi wame drop baada ya kuona uhalisia...
Soon or later I will prove you wrong bro, with my 10 USD!
 
Mkuu wote hapa tunaongea swala moja, tunatofautiana mtazamo...Nafahamu kabisa hilo swala la skills, lakini ukweli pia nikuwa experiece ina umuhimu sana kwenye FOREX. mimi sibishi kuwa huwezi kufanya forex kwa hiyo $10, kujijua kwamba uko vizuri au hauko vizuri unaweza kujipima kwa number of pips you can make...Sasa hiyo dola kumi hata sijalia lot yake inaitwaje...ni below Nano lot...sasa naomba uniambie ita-multiply vipi ili kuifikisha buku ndani ya miaka mitano..."Otherwise "'ubahatike"" kwenye laverage"....

Kwa kukamilisha sipingani na wewe...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom