Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mabroker wengi hata huyu fxtm analazimisha kwamba njia uliyotumia kufund lazima itumike hiyohiyo kwa first withdrawal... Mpesa master card inaexpire ndani ya mwezi mmoja sasa itakuwaje au hiyo target yao itafika ndani ya mwezi?
Kwa mujibu wa Trading plan ya Bw. Francisco itachukua miezi 4.

Kuhusu withdraw, Binafsi natia shaka hlo, na mimi binafsi nina Skrill ambayo ndiyo nimeitumia kufund...

Nlimuuliza mtu jana pia, je, withdraw ikiwa ni NJIA uliyotumia kudeposit, kama umetumia Voda Mastercard, ikaexpire, ukatengeneza nyngne, itakubalika? Ukweli, nayo itakuwa Voda Mastercard, lakini DETAILS zitakuwa tofauti.

NJIA ya withdraw itakuwa SAWA. VODA MASTERCARD. lakini DETAILS za CARD zitakuwa tofauti, Watakubali?

Alinambia atawauliza. Huenda nkipata jibu ntaja nalo hapa pia.
 
scams kila sehemu duh hali inatisha kila baada ya hatua tatu kun amatapeli
 
Kwa mujibu wa Trading plan ya Bw. Francisco itachukua miezi 4.

Kuhusu withdraw, Binafsi natia shaka hlo, na mimi binafsi nina Skrill ambayo ndiyo nimeitumia kufund...

Nlimuuliza mtu jana pia, je, withdraw ikiwa ni NJIA uliyotumia kudeposit, kama umetumia Voda Mastercard, ikaexpire, ukatengeneza nyngne, itakubalika? Ukweli, nayo itakuwa Voda Mastercard, lakini DETAILS zitakuwa tofauti.

NJIA ya withdraw itakuwa SAWA. VODA MASTERCARD. lakini DETAILS za CARD zitakuwa tofauti, Watakubali?

Alinambia atawauliza. Huenda nkipata jibu ntaja nalo hapa pia.
Aisee wanatakiwa wawe makini wanaintroduce kitu hawajafanyia utafiti wa kutosha sasa imagine mtu keshadeposit anakuja anapewa jibu kwamba haiwezekani. Bora sasa jibu lipatikane ndani ya mwezi sasa ili kama kuna mtu kadeposit atoe hela yake atafute njia nyingine
 
This is a precious concern... Ntajaribu kumcheck jamaa. Wazo langu ni kuwa watu wataruhusiwa kuwithdraw $100 kwa kadi zao, kabla hazijaexpire, then kiasi kitakachoendelea kubaki katika akaunt zao za trading kitakuwa restrictions free... Kwamba kokote watatolea..
 
Aisee wanatakiwa wawe makini wanaintroduce kitu hawajafanyia utafiti wa kutosha sasa imagine mtu keshadeposit anakuja anapewa jibu kwamba haiwezekani. Bora sasa jibu lipatikane ndani ya mwezi sasa ili kama kuna mtu kadeposit atoe hela yake atafute njia nyingine
Well, yote tumediscuss ni in vain. Nimejaribu kupata uhakika now, kwa kutengeneza card, it seems voda wameongeza validity time ya card.

Nliyotengeneza itaexpire 14-05-2019 09:55:01.

It seems sasa cards zakaa 6mnths kabla hazijaexpire.
 
Kumbe ni jambo zuri kama wameongeza validity
 
my mentor utawauaaaa bhanaaaa
Washanyookkaaa viburiii
Kwa anaetaka kufundishwa forex one on one
Check me whatsapp 0769095171
 
Hapana mkuu, ila kuna jamaa yangu kaitumia jana na amefanikiwa kudeposit kwa broker.

Mimi binafsi huwa natumia skrill.
Alijaribu kutoa ikakubari.??

me all time namtumia templer ,sasa fransisco akanishirikisha hilo dili,I want to join.

Skrill unaweza kudeposit kutumia mobile money??
 
Kutoa hapana, ila kudeposit. Zile cards zakaa 6mnths kabla hazijaexpire, so nadhan itakuwa possible kutoa.

Skrill unadeposit kupitia bank. Na kama una visa/master card unaweza verify kwa templer ukawa watoa kutoka skrill kwenda templer, then mpesa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom