AMLIGHT
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 1,140
- 843
Kwa mujibu wa Trading plan ya Bw. Francisco itachukua miezi 4.Mabroker wengi hata huyu fxtm analazimisha kwamba njia uliyotumia kufund lazima itumike hiyohiyo kwa first withdrawal... Mpesa master card inaexpire ndani ya mwezi mmoja sasa itakuwaje au hiyo target yao itafika ndani ya mwezi?
Kuhusu withdraw, Binafsi natia shaka hlo, na mimi binafsi nina Skrill ambayo ndiyo nimeitumia kufund...
Nlimuuliza mtu jana pia, je, withdraw ikiwa ni NJIA uliyotumia kudeposit, kama umetumia Voda Mastercard, ikaexpire, ukatengeneza nyngne, itakubalika? Ukweli, nayo itakuwa Voda Mastercard, lakini DETAILS zitakuwa tofauti.
NJIA ya withdraw itakuwa SAWA. VODA MASTERCARD. lakini DETAILS za CARD zitakuwa tofauti, Watakubali?
Alinambia atawauliza. Huenda nkipata jibu ntaja nalo hapa pia.