Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Mbona duuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona duuh
Hapo ktk kuhama group watu na wewe kuleftMbona duuh
okMimi hata sijui iko wapi
Sasa ningefanyaje mkuu group likawa halina maana tenaHapo ktk kuhama group watu na wewe kuleft
Sasa ningefanyaje mkuu group likawa halina maana tena
Hahahaha, maamuzi mazuri lkn
Ila yapo ma group ya watu wanafundishana haya makitu ?
Yapo mengi sana
baki nayo mkuu hivo hivoFX kuna materials ninayo yako deep, unahitaji PM me ila sio bure
Hhhhaahhha....Dahbaki nayo mkuu hivo hivo
baki nayo mkuu hivo hivo
forex inalipa zaidi kwa kufanyia watu training sio kutrade
Umekuwa wall Street mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]FX kuna materials ninayo yako deep, unahitaji PM me ila sio bure
BTC ni Crypto currency so haziko limited kama currency za kawaida hizi huwa activef hata siku za weeketHabari wakubwa
Kuna kitu nahitaji kujua kuhusu trading forex kama mnavyojua leo market ipo closed kwa weekend.Jana usiku nilifanya trade kwa upande wa EUR/USD na kwa upande wa BTC( bitcoin) then nkachapa usingizi bila kusahau TP na SL nilizingatia kuziweka ila leo asubuhi nmeamka nkamua kuchungulia kwa bahati nzur nmekuta profit znasoma kwa pande zote mbili ila moja(BTC) ilikuwa bado ina trade japo kuwa leo ni weekend na market ipo closed na nyingne(EUR/USD) imegoma kuclose order
Swali langu? Kama market ipo closed je? Kwanin inaendelea kufanya trading????
kumbe kwd is stronger than dollarHakuna tofauti , Iko sawa sababu ya PIP value ya EURUSD
Tofauti iko kwenye ku_withraw profit
- Chukulia wote mnatoa faida ya 100
Mwenye USD 100 - Atapokea fedha ya TZS isiyozidi TZS 240,000
Wakati yule wa KWD atapokea fedha katika TZS mara tatu ya yule wa USD, Sababu 1kwd = 3 usd , Hii ndio faida pekee
Sahihi, zipo zingine pia zenye nguvu kuliko dollakumbe kwd is stronger than dollar
sawa sawa mkuu, asante,nilikua sifahamu hichi kitu.Sahihi, zipo zingine pia zenye nguvu kuliko dolla
5) Falkland Islands: Falkland Pound (1 FKP = 1.37 USD)
4) Jordan: Jordanian Dinar (1 JOD = 1.41 USD)
3) Oman: Omani Rial (1 OMR = 2.6 USD)
2) Bahrain: Bahraini Dinar (1 BHD = 2.65 USD)
1) Kuwait: Kuwaiti Dinar (1 KWD = 3.31 USD)
sawa sawa mkuu, asante,nilikua sifahamu hichi kitu.Sahihi, zipo zingine pia zenye nguvu kuliko dolla
5) Falkland Islands: Falkland Pound (1 FKP = 1.37 USD)
4) Jordan: Jordanian Dinar (1 JOD = 1.41 USD)
3) Oman: Omani Rial (1 OMR = 2.6 USD)
2) Bahrain: Bahraini Dinar (1 BHD = 2.65 USD)
1) Kuwait: Kuwaiti Dinar (1 KWD = 3.31 USD)
Mkuu najua na ninaamini unaelewa kuwa vitabu vingi vya Forex concepts zao ni kuhusu Resistance, Trendline, Zones, Support n.k.Mkuu si utugawie hicho unachojua sasa