Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Habari wakubwa
Kuna kitu nahitaji kujua kuhusu trading forex kama mnavyojua leo market ipo closed kwa weekend.Jana usiku nilifanya trade kwa upande wa EUR/USD na kwa upande wa BTC( bitcoin) then nkachapa usingizi bila kusahau TP na SL nilizingatia kuziweka ila leo asubuhi nmeamka nkamua kuchungulia kwa bahati nzur nmekuta profit znasoma kwa pande zote mbili ila moja(BTC) ilikuwa bado ina trade japo kuwa leo ni weekend na market ipo closed na nyingne(EUR/USD) imegoma kuclose order
Swali langu? Kama market ipo closed je? Kwanin inaendelea kufanya trading????
BTC ni Crypto currency so haziko limited kama currency za kawaida hizi huwa activef hata siku za weeket
 
Hakuna tofauti , Iko sawa sababu ya PIP value ya EURUSD

Tofauti iko kwenye ku_withraw profit
- Chukulia wote mnatoa faida ya 100
Mwenye USD 100 - Atapokea fedha ya TZS isiyozidi TZS 240,000
Wakati yule wa KWD atapokea fedha katika TZS mara tatu ya yule wa USD, Sababu 1kwd = 3 usd , Hii ndio faida pekee
kumbe kwd is stronger than dollar
 
kumbe kwd is stronger than dollar
Sahihi, zipo zingine pia zenye nguvu kuliko dolla
5) Falkland Islands: Falkland Pound (1 FKP = 1.37 USD)
4) Jordan: Jordanian Dinar (1 JOD = 1.41 USD)
3) Oman: Omani Rial (1 OMR = 2.6 USD)
2) Bahrain: Bahraini Dinar (1 BHD = 2.65 USD)
1) Kuwait: Kuwaiti Dinar (1 KWD = 3.31 USD)
 
sawa sawa mkuu, asante,nilikua sifahamu hichi kitu.
 
Mkuu si utugawie hicho unachojua sasa
Mkuu najua na ninaamini unaelewa kuwa vitabu vingi vya Forex concepts zao ni kuhusu Resistance, Trendline, Zones, Support n.k.

Nakuomba utafute vitabu vinavyozungumzia Forex kwa utofauti na hizo takataka nimezotaja. Kama Forex ingekuwa ni support na resistance mbona Kuna watu wanachora vizuri hizo S&R na waishia kupigwa kama kawa.

Hivi Pesa imekuwa rahisi kihivyo uchore resistance tu na Pesa ije!! Wake up guys Find knowledge. Eti uchore trendline Pesa ije. Huu ni ukweli ambao nitapingwa humu na kila mtu kwasababu tumelishwa hii sumu kuanzia vitabu na wanaotufundisha.

Mbaya zaidi Mtu akijua kuchora S&R au Trend Line anakuwa Mwalimu. Ni mwendo wa kulishana sumu sumu sumu.

Siri kubwa ninayokupa hakuna successful trader anaefanikiwa kwa kuchora S&R au TL. Huo ni uchuro tu (Samahani kwa kusema lugha mbovu ). Na wengi hawawezi kukupa njia ya mafanikio yao. Ukiwa mdadisi na kuweka akili yako iwe huru kufikiri nje ya box utaelewa na kujua ninachomaanisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom