Forex experts tukutane hapa kujadili namna ya kutrade new Trump market

Forex experts tukutane hapa kujadili namna ya kutrade new Trump market

Status
Not open for further replies.

flood

Senior Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
131
Reaction score
202
Hali sio nzuri kwa upande wangu naweza kupandisha trade double lakini ikifika kuanzia saa 5 narudi nilipokuwa.

Muds naomba kuweka link ili kunusuru traders

View: https://youtu.be/5J01qKDAziM?si=fgGr9YmXU2BlCFxN

Kiukweli hali ya sasa inalazimisha kuwa scalper 5min unaingia na kutoka kitu ambacho sio rahisi

Fake breakout ni nyingi mno

Naomba kuwakaribisha
 
Umesema expert
Ila kuna akina siye tunaohitaji kujifunza
Download Exness then anza kutrade.
Hakikisha unapitia short video youtube na tiktok andika forex.
Base kwenye kujifunza kuliko kupata faida. Ukishakuwa na ujuzi na maarifa ya FOREX hela itakufuata yenyewe.
Baada mwezi 1 nicheki.

Ila uwe na roho yakuhimili mazito. Maana kutrade ni sawa na umeingia vitani halaf usafiri uliokuleta umechomwa moto. Kinachobaki ni kuhakikisha unashinda vita.

Wengi wanashindwa kuhimili market trend na kugonga hasara.
 
Kwann usitoe hiyo link ya YouTube ili tuweze kuujadili Uzi kwenye app maana huku kwenye website pananikera nina mengi mazuri ya kujadili...
 
Download Exness then anza kutrade.
Hakikisha unapitia short video youtube na tiktok andika forex.
Base kwenye kujifunza kuliko kupata faida. Ukishakuwa na ujuzi na maarifa ya FOREX hela itakufuata yenyewe.
Baada mwezi 1 nicheki.

Ila uwe na roho yakuhimili mazito. Maana kutrade ni sawa na umeingia vitani halaf usafiri uliokuleta umechomwa moto. Kinachobaki ni kuhakikisha unashinda vita.

Wengi wanashindwa kuhimili market trend na kugonga hasara.
asijifunze kwa short form za tiktok atapoteana huwa zile dude wamestrip sana context akatulie youtube
 
Naomba niwe naweka entry na exit nimejaribu kwa wiki 2 na zinafanya vizuri sana.

Nitaweka muda wa entry na exit ni about 2 - 4 hours utakavyoona umetokesha

Naomba mjaribu wa Demo japo mimi naweka Real.

Profit ni double japo huwa napenda kuchukua 50%.
 
IMG_0049.png
Hii nilipandisha leo saa 6 mchana kwa ajili ya New York kwasababu inafanya vizuri (London ni kwa ajili ya setup tuu dont trade itakuumiza kichwa) inaenda mpaka 86000 ila mpaka saa 4 usiku ila sipendi kujitesa na mawazo wakati pips 800 zinatosha
Sababu ya kupanda ni Metaplanet walitangaza watanunua BTC 319

Muda mwingine waku Trade BTC ni saa 9 usiku ( Tokyo session inafanya vzr kwa muda mfupi) so saa 6 usiku naangalia soko linaenda wapi na saa 8:30 usiku nacheki trend ya 6,3 hours before.
 
asijifunze kwa short form za tiktok atapoteana huwa zile dude wamestrip sana context akatulie youtube
Youtube napenda kufuatilia Data Trader naona yuko vizuri anakupa indicator na supporting zake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom