Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,310
- 5,669
Kwa broker pale si umepewa account number na password ila kama password umesahau badilisha weka unayo jua ili pale mt5 uka log in ivyo tu au badoMsaada mkuu,
Naomba unisaidie namna ya ku-link account yangu na mt5 imenigomea kabisa. Nimedipost lakn mambo yamekua si mambo. Naona unatumia exness