Forex experts tukutane hapa kujadili namna ya kutrade new Trump market

Status
Not open for further replies.
Leo soko limepanda trend yake ni nzuri kidogo kulinganisha na week iliyopita kufuatisha na vita ya israel-iran
 
au nkuonyeshe wenye majumba kabisa na magari?
Achana na hao wahuni wengine nazangumzia huyo wa hapa hapa kwenye uzi kashow akaunt imenona kuliko saving yako hebu tumchimbe atupe trading history ya miezi mitatu nyuma akitoka nduki watakua ni wale wale
 
unataka wakimbie apa forum?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom