Download Exness then anza kutrade.Umesema expert
Ila kuna akina siye tunaohitaji kujifunza
Watu waliuza kwa panick wao wakanunua kwa bei ya chinitrump analidondosha soko ili yeye na wahuni wengine wabuy low
ngoma bado chini inaenda ,inaonekana trump jana alilibaka soko leo wallstreet wanalipiza kisasiWatu waliuza kwa panick wao wakanunua kwa bei ya chini
asijifunze kwa short form za tiktok atapoteana huwa zile dude wamestrip sana context akatulie youtubeDownload Exness then anza kutrade.
Hakikisha unapitia short video youtube na tiktok andika forex.
Base kwenye kujifunza kuliko kupata faida. Ukishakuwa na ujuzi na maarifa ya FOREX hela itakufuata yenyewe.
Baada mwezi 1 nicheki.
Ila uwe na roho yakuhimili mazito. Maana kutrade ni sawa na umeingia vitani halaf usafiri uliokuleta umechomwa moto. Kinachobaki ni kuhakikisha unashinda vita.
Wengi wanashindwa kuhimili market trend na kugonga hasara.
Fundamentals siyo maanani sana kuhusu market.direction ni speculation tu za mda mfupi.trump analidondosha soko ili yeye na wahuni wengine wabuy low
Msaada mkuu,Nalala now nimeacha ziendeView attachment 3304589