Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,310
- 5,669
Kwa broker pale si umepewa account number na password ila kama password umesahau badilisha weka unayo jua ili pale mt5 uka log in ivyo tu au badoMsaada mkuu,
Naomba unisaidie namna ya ku-link account yangu na mt5 imenigomea kabisa. Nimedipost lakn mambo yamekua si mambo. Naona unatumia exness
Yan nimejaribu kwa details zile zile inagoma...naambiwa kprovide info, natia lakn bado inaniambia ni preliminary account kwa hiyo siwezi kutumia simu na mm computer sinaKwa broker pale si umepewa account number na password ila kama password umesahau badilisha weka unayo jua ili pale mt5 uka log in ivyo tu au bado
Broker upi kwani?Yan nimejaribu kwa details zile zile inagoma...naambiwa kprovide info, natia lakn bado inaniambia ni preliminary account kwa hiyo siwezi kutumia simu na mm computer sina
Jaribu mt4 thenYan nimejaribu kwa details zile zile inagoma...naambiwa kprovide info, natia lakn bado inaniambia ni preliminary account kwa hiyo siwezi kutumia simu na mm computer
ExnessBroker upi kwani?
M natumia mt4 kwa exness anazingua mt5 sometimes inanitoa kabisa so try mt4Exness
Exness
Yeah natumia web nikiwa home most of tyms ila sasa kila weekend kuna marekebisho lolView attachment 3345915
Natumia PC, ukiingia kwenye dashboard mbona wana platform nzuri kuliko hizo za mt4/mt5..
Kwenye dashboard kuna ile button imeandikwa trade nimepoint na mshale hapo, ukibofya itakuja pop up ikiuliza utumie platform ipi ya kwanza ni web terminal ya exness wenyewe na ya pili ni mt5...
Web terminal yao ni kama tradingview, nadhani ni tradingiew, ni nzuri zaidi kuliko hio mt5 na mt4, uzuri unatumia browser tu..
Ok, kama kwenye simu wana official app zao, zipo vizuri pia kama Exness Trade.Yeah natumia web nikiwa home most of tyms ila sasa kila weekend kuna marekebisho lol
Yeah nafanya analysis na pc sema simu kuingia short trade ila mt5 jau kweli naunga hoja web yake ndo nimeanza tumia this yrOk, kama kwenye simu wana official app zao, zipo vizuri pia kama Exness Trade.
Hizi mt5 sizitumii, analysis zote nafanya tradingview, huku kwenye apps na softwares labda kufanya entry tu...
Analysis nafanya na PC, simu siwezi...
Mie simu natumia kufuatilia na ku manage trades tu, napokuwa mbali na PC au mizungkoni nikiwa mbali na PC, ku close orders n.k...Yeah nafanya analysis na pc sema simu kuingia short trade ila mt5 jau kweli naunga hoja web yake ndo nimeanza tumia this yr
Pamoja sanaMie simu natumia kufuatilia na ku manage trades tu, napokuwa mbali na PC au mizungkoni nikiwa mbali na PC, ku close orders n.k...
Vyema mkuu..
Nimejaribu App naona iko vzr ila kuna vitu vichache bado sijavieliwa vizuri. Naendelea kujifunza. Bado sijaelewa jinsi ya kuweka pending orders. Nashukuru sana kwa msaada wakoOk, kama kwenye simu wana official app zao, zipo vizuri pia kama Exness Trade.
Hizi mt5 sizitumii, analysis zote nafanya tradingview, huku kwenye apps na softwares labda kufanya entry tu...
Analysis nafanya na PC, simu siwezi...
amnaga expert wa forexUmesema expert
Ila kuna akina siye tunaohitaji kujifunza
Issue ni kumake money mengine kelele tuamnaga expert wa forex
forex ni siasaIssue ni kumake money mengine kelele tu