FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

kiongozi wa washikiwa akili, i Sarute ONTARIO kwa kuweza kuwashikia akili watu kwa kiwango hiki bado namkubali sana jamaa kwa hapo na ataendelea kuwashikia akili tu. Kiongozi wa washikiwa akili
Simlaumu, atawapata wengi tu majendaheka.
 
kiongozi wa washikiwa akili, i Sarute ONTARIO kwa kuweza kuwashikia akili watu kwa kiwango hiki bado namkubali sana jamaa kwa hapo na ataendelea kuwashikia akili tu. Kiongozi wa washikiwa akili

Wewe unajua nini kuhusu forex trading? Haya explain na describe kwa maneno yako siyo googling. Nakupa 15 munites.
Wewe ni nani unanipa dakika 15...Its either ignorance of some of you au roho ya husda, unaweza kuta mnafanya hio forex lakini kutokana na chuki na roho za husda nyinyi ndo wale msiopenda maendeleo ya wengine,;mnataka mfanikiwe nyinyi tu kwaio mmejiunga kikundi ili mufanikishe lengo lenu...aise niwambie tu KUNYWENI SUMU.
 
Point iliyo kufikisha hapo ni ignorance ya kutoelewa serikali ya bondeni iko vipi na ina deal namna gani na wafanyakazi wake na wana contract za namna gani.

Kama unataka kujua kama wasauzi ni vilaza kwanini husichunguze mwenyewe badala ya kutaka kuambiwa kama unavyo danganywa kuhusu forex?

Hata kama upatu, kamali au forex serikali haiwezi kuzuia wewe husicheze. Serikali itakukopesha kulingana na mkataba. Maswala ya unatumia vipi it's your business!
 
No right answer? Umefeli hujui forex trading ni nini na siwezi kukusaidia kwa jeuri yako!
 
No right answer? Umefeli hujui forex trading ni nini na siwezi kukusaidia kwa jeuri yako!
Sitaki.msaada wako, naijua forex, na bado naendelea.kujifunza kutoka kwa wanaojua ambao sio wanafki na wachoyo kutoa elimu waliyonayo, msaada wa majungu siutaki..najua side uliyopo kwaio tutakua tunapotezeana muda tu kujibishana
na wakati ningesha.make some dollars kwa huu muda wa kujibishana
 
Unajua forex wewe? Labda unajua kuuza kahawa na maandazi mitaani kwenu!
 
Huu uzi haupingi FOREX,
kama kingereza shida mwambie aliepost atafsiri.
huu uzi unawatahadharisha watu kukimbilia kulipia service za robot ambazo zinawadanganya watu kuwa forex ni "get rich quick scheme".

na sort of mining services zinazofanya watu waone forex haiitaji knowledge kubwa.
in real sense forex inahitaji knowledge nzuri ya finance na ufuatiliaji wa masoko ya currency za kimataifa.

Wanaforex wanafuatilia mpaka wanasiasa wa kimataifa maan ando watu wanaoweza kuathiri uchumi wa mabara tofauti kwa maneno yao tu.

Huu uzi haupingi FOREX, ila majority hamjaulewa, upitieni kwa makini.
 
Kilichoandikwa ndio hicho ulichosema ila hilo halikua dhumun la mleta mada, tunamfaham vizuri sana humu na hii ni ID yake ya pili...
 
Kwanini ucngewapigia jp markets, wao wana wateja kibao tz
 
Wangeeka tuzo za wachukiaji bongo kuna watu wana vipaji, Mara chenga Mara no network, mnaropoka vitu havielewek [emoji23]
Gari ishawaka zamaaaaaan mwendo wa pips tu halla
Umeonaa long bullishit na short technical trading
 
Bwana Ontario mpaka sasa keshaingiza million 50 za training,anasema tayari ashatrain watu 350 kwa sh 150,000 piga hesabu...na hapa ndio watu wanapopigwa. Only 1% of new traders tend to be successful.
Training za watu wa mwanzo zilikuwa tsh 65,000 na sasa na sasa ni Tsh 130,000/= acha kudanganya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…