BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
ignoranceOyaaa! Mbona mboshi wewe? Ni utapeli na ignorance ya kuto jua how this scam operates. Kauze kibanda chako na wewe ushinde mapesa ya forex alafu njoo hapa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ignoranceOyaaa! Mbona mboshi wewe? Ni utapeli na ignorance ya kuto jua how this scam operates. Kauze kibanda chako na wewe ushinde mapesa ya forex alafu njoo hapa!
kiongozi wa washikiwa akili, i Sarute ONTARIO kwa kuweza kuwashikia akili watu kwa kiwango hiki bado namkubali sana jamaa kwa hapo na ataendelea kuwashikia akili tu. Kiongozi wa washikiwa akiliWakikupa jibu ni tag kiongozi...
Wewe unajua nini kuhusu forex trading? Haya explain na describe kwa maneno yako siyo googling. Nakupa 15 munites.ignorance
Simlaumu, atawapata wengi tu majendaheka.kiongozi wa washikiwa akili, i Sarute ONTARIO kwa kuweza kuwashikia akili watu kwa kiwango hiki bado namkubali sana jamaa kwa hapo na ataendelea kuwashikia akili tu. Kiongozi wa washikiwa akili
kiongozi wa washikiwa akili, i Sarute ONTARIO kwa kuweza kuwashikia akili watu kwa kiwango hiki bado namkubali sana jamaa kwa hapo na ataendelea kuwashikia akili tu. Kiongozi wa washikiwa akili
Wewe ni nani unanipa dakika 15...Its either ignorance of some of you au roho ya husda, unaweza kuta mnafanya hio forex lakini kutokana na chuki na roho za husda nyinyi ndo wale msiopenda maendeleo ya wengine,;mnataka mfanikiwe nyinyi tu kwaio mmejiunga kikundi ili mufanikishe lengo lenu...aise niwambie tu KUNYWENI SUMU.Wewe unajua nini kuhusu forex trading? Haya explain na describe kwa maneno yako siyo googling. Nakupa 15 munites.
Point iliyo kufikisha hapo ni ignorance ya kutoelewa serikali ya bondeni iko vipi na ina deal namna gani na wafanyakazi wake na wana contract za namna gani.Point iliyo nifikirisha hapo ni ya serikali kuruhusu wafanyakazi wake kukopeshwa mtaji na kukatwa kidogo kidogo kwenye mishahara yao, je serikali ya bondeni nayo ni ya vilaza kama tunavyo aminishwa hapa?
Je hawajui kwamba hii ni upatu kama mnavyo elewa nyinyi wabongo?
No right answer? Umefeli hujui forex trading ni nini na siwezi kukusaidia kwa jeuri yako!Wewe ni nani unanipa dakika 15...Its either ignorance of some of you au roho ya husda, unaweza kuta mnafanya hio forex lakini kutokana na chuki na roho za husda nyinyi ndo wale msiopenda maendeleo ya wengine,;mnataka mfanikiwe nyinyi tu kwaio mmejiunga kikundi ili mufanikishe lengo lenu...aise niwambie tu KUNYWENI SUMU.
Sitaki.msaada wako, naijua forex, na bado naendelea.kujifunza kutoka kwa wanaojua ambao sio wanafki na wachoyo kutoa elimu waliyonayo, msaada wa majungu siutaki..najua side uliyopo kwaio tutakua tunapotezeana muda tu kujibishanaNo right answer? Umefeli hujui forex trading ni nini na siwezi kukusaidia kwa jeuri yako!
Unajua forex wewe? Labda unajua kuuza kahawa na maandazi mitaani kwenu!Sitaki.msaada wako, naijua forex, na bado naendelea.kujifunza kutoka kwa wanaojua ambao sio wanafki na wachoyo kutoa elimu waliyonayo, msaada wa majungu siutaki..najua side uliyopo kwaio tutakua tunapotezeana muda tu kujibishana
na wakati ningesha.make some dollars kwa huu muda wa kujibishana
Hahahahaha! Duh..Unajua forex wewe? Labda unajua kuuza kahawa na maandazi mitaani kwenu!
Kilichoandikwa ndio hicho ulichosema ila hilo halikua dhumun la mleta mada, tunamfaham vizuri sana humu na hii ni ID yake ya pili...Huu uzi haupingi FOREX,
kama kingereza shida mwambie aliepost atafsiri.
huu uzi unawatahadharisha watu kukimbilia kulipia service za robot ambazo zinawadanganya watu kuwa forex ni "get rich quick scheme".
na sort of mining services zinazofanya watu waone forex haiitaji knowledge kubwa.
in real sense forex inahitaji knowledge nzuri ya finance na ufuatiliaji wa masoko ya currency za kimataifa.
Wanaforex wanafuatilia mpaka wanasiasa wa kimataifa maan ando watu wanaoweza kuathiri uchumi wa mabara tofauti kwa maneno yao tu.
Huu uzi haupingi FOREX, ila majority hamjaulewa, upitieni kwa makini.
Kwanini ucngewapigia jp markets, wao wana wateja kibao tzMod msitoe wala kuunganisha uzi huu,hii ni taarifa huru.
Kwa wote mnaendelea kuifuatilia Biashara ya Forex Trading kama ilivyotambulishwa na ndugu [HASHTAG]#Ontario[/HASHTAG] humu JF na sasa kuonekana inashika kasi nimeoona si vibaya tukashirikishana hili.
Nimejaribu kutembelea Website ya moja kwa moja ya FXTM na kufanya usajali wa awali, katika hatua hizo nilibahatika kupata number ya simu na kuchart nao ,bad luck majibu waliyonipa yalikua negative. Kwa kifupi niliwauliza kama wanajua kinachoendelea TZ , direct walisema hawajua lolote na hawana taarifa zaidi juu ya biashara yao nchini TZ .
Sina lengo la kurudisha biashara hii nyuma ila pia ni vyema tukawa wachunguzi wa mambo katika hatua za awali.
Kwa muda wako unaweza kutembelea site link hii hapo chini na kama hutotaka kufika huko Number waliyonayo kwenye Site hiyoo ni +447593612469.
Wapo verry active katika kureply lolote utakalowauliza kuhusu Biashara yao.
(Majibu mtakayopata yatatusaidia kukusanya dots na kujua hiki kinachofanyika kwetu kipo katika status ipi ya uhalisia wa biashara husika).
Forex Trading with FXTM
Umeonaa long bullishit na short technical tradingWangeeka tuzo za wachukiaji bongo kuna watu wana vipaji, Mara chenga Mara no network, mnaropoka vitu havielewek [emoji23]
Gari ishawaka zamaaaaaan mwendo wa pips tu halla
Training za watu wa mwanzo zilikuwa tsh 65,000 na sasa na sasa ni Tsh 130,000/= acha kudanganya watuBwana Ontario mpaka sasa keshaingiza million 50 za training,anasema tayari ashatrain watu 350 kwa sh 150,000 piga hesabu...na hapa ndio watu wanapopigwa. Only 1% of new traders tend to be successful.