jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Karafuu hazina soko kwasasa yakhe?
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Forex ina mmiliki hahaha. .dah! Hizi comment zinachekesha kweli. HahahaTundu lissu alinavyopigania haki za wanyonge anapata faida gani? magufuli anavyopigania madini anapata faida gani?
Sio kila mtu anataka faida ya pesa mkuu wengine kuona vijana wananufaika na kujikwamua kutoka kwenye umaskini ndio faida yao hiyo!!
Unaijua forex? ivi forex ina mmiliki kumbe??
Wachezaji wa nini mpira, muziki au nini?? forex sio mchezo useme wacheze, forex ni biashara kama biashara nyingine!!
Kwa kukujibu tu, hao jamaa ikiwemo ontario mwenye ni traders na sio wachezaji kama ulivyosema, so wanachotrade ndio wanawapa wanafunzi nao wana trade, incase waki poteza basi wanapoteza wote na wakipata basi wanapata wote!!
Wao ni traders wakawaida tu a.k.a retail traders tofauti na mabenki au taasisi kubwa kama JP morgan, baclays na wengine kama hao!
Forex inafundishwa hadi vyuoni, na kama ulisoma au unasoma accountancy/economics au finance basi utakua umekutana nayo kwenye international finance! sasa je kuna chuo kikuu gani duniani kinachofundisha kamari??
Nisaidie kushangaa, Tanzania ya Magufuli watu wanazidi kudata.point yako hapa ni nini hasa??
Point ni kwamba nikipost kwa sasa ni.kama napinga au kuponda kitu fulani ila nikiweka post za nyuma sana utaona zinafanana tu na za sasa.point yako hapa ni nini hasa??
Shida ni aina ya Post zangu.point yako hapa ni nini hasa??
Nani anadata mkuu?Nisaidie kushangaa, Tanzania ya Magufuli watu wanazidi kudata.
Wewe.Nani anadata mkuu?
Shida ni aina ya Post zangu.
Hapa hapa jukwaani tuna laumiana humu humu mkuuSiumtaje alikufuata (pm) na kuku laumu?
Wacha kuzunguka m-buyu mkuu......Point ni kwamba nikipost kwa sasa ni.kama napinga au kuponda kitu fulani ila nikiweka post za nyuma sana utaona zinafanana tu na za sasa.
Shida ni aina ya Post zangu.
FOREX ni biashara ya fedha za kigeni mkuu inafanyika Dunia nzima Ila Online FOREX mimi binafisi sina uelewa nayo sana ingawa kwa sasa nasoma sana so far kuna vitabu nime down load na kuna machapisho.kwani wewe nini mtazamo wako kuhusu FOREX??
Kwanini uogope kulaumiwa kwa kile unacho kiamini (ulicho kisoma na kukielewa)?Hapa hapa jukwaani tuna laumiana humu humu mkuu