Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
FOREX ni biashara ya fedha za kigeni mkuu inafanyika Dunia nzima Ila Online FOREX mimi binafisi sina uelewa nayo sana ingawa kwa sasa nasoma sana so far kuna vitabu nime down load na kuna machapisho.
Baada ya kumaliza kusoma nitajua
Na FOREX ni
Nisha eleza kwamba kwa sasa anya post haya kama inahusu mtu kujiajiri au mtu afuate wazo lake la biashata au ndoto zake basi hiyo post itaonekana iko agaisnt na Post zingine humu.Wacha kuzunguka m-buyu mkuu......
Ebu fungua koo useme linalo kusibu
Naunga mkono hojaokey soma vitabu then ndiyo uje uanzishe thread zako naamini kutakuwa hakuna utata tena.
Wapi hujaelewa?Atakae elewa anitafsirie tafadhali
Albadri mbaya aiseAtakae elewa anitafsirie tafadhali
Mkuu ni kwamba kuna post yangu ya Mwisho nilipost kuhusu mtu asishikiwe akili sasa nashambuliwa kwamba inahusu kuponda Idea fulani.usiwe muoga Chasha...
kama kuna vitu hukubaliani navyo unapinga tu bila kujali utachukuliwaje na wanaopenda na wako wangapi.
ulichoandika ni void mkuu ni sawa kama ungeandika 1=1
sasa unataka watu wajadili nini hapo.
Post ninayokumbuka ulimponda mjasiriamali mwenzako ONTARIO, kuwa ni tapeli..naona nafsi inakusutaFOREX ni biashara ya fedha za kigeni mkuu inafanyika Dunia nzima Ila Online FOREX mimi binafisi sina uelewa nayo sana ingawa kwa sasa nasoma sana so far kuna vitabu nime down load na kuna machapisho.
Baada ya kumaliza kusoma nitajua
Na FOREX ni
Ok. Asante kwa summary.Wapi hujaelewa?
Mkuu ni.kwamba post zangu nyingi sana huwa zina ufanano fulani hasa kutiana hamasa na kadhalika. Sasa kwa wakati huu nikipost inaonekana niko against na Idea fulani. lakini sio
Post na nikasema mimi binafisi kwa sasa siwezi jiunga au kufanya FOREX ila nikimaliza kusoma basi nitaamua kama cha kufanya.Ok. Asante kwa summary.
Unahisi kwanini wanakuona uko against wakati wewe unakubaliana nao???
PANIC ipi mimi mkuu bada ya hii nitaendelea na post zingine tu nyingi sasa kama hazifurahishi watu si juu yanguMbona umeandika hii post kama umepanic hivi??
Nitapandisha vipi ilihali najibu huku. sio lazima nipandishe sasa hivi.mi nikajua usha pandisha, kumbe unatishia tu kupandisha. pandisha tuone
acha kupiga mayoweeeee
kama alifanya hivyo alikosea...Post ninayokumbuka ulimponda mjasiriamali mwenzako ONTARIO, kuwa ni tapeli..naona nafsi inakusuta
Mkuu ni capital gani hapo umetumia kutengeneza hiyo faida?
Sisi tunaendelea kudownload mapene
kama kweli uliwahi kuonyesha uelekeo ambao haukueleweka au umewahi kupinga kitu ambacho sasa unaona ulikosea. Omba msamaha sio kuzungukazunguka mkuu, huo ndio uungwana.Mkuu ni kwamba kuna post yangu ya Mwisho nilipost kuhusu mtu asishikiwe akili sasa nashambuliwa kwamba inahusu kuponda Idea fulani.
Ila kuna post zangu za nyuma zadi za aina hiiihiii
Mkuu usingeanza kulalamika kwanza huku ukijua huwezi kujiunga na FOREX kwa sasa jambo ambalo linaonesha dhahiri jinsi gani ulivyokuwa against na wenye muitikio wa FOREX.Post na nikasema mimi binafisi kwa sasa siwezi jiunga au kufanya FOREX ila nikimaliza kusoma basi nitaamua kama cha kufanya.
Sasa haya ndo sipendi humu Post inahusu kitu kingine mkuuMkuu ni capital gani hapo umetumia kutengeneza hiyo faida?