FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

Fixed return Forex Scam hits Uganda

Developing markets are new growth areas for financial services providers however due to immature regulatory proceedings investors are being caught

Adil Siddiqui | Regulation (Retail FX) | Friday, 13.04.2012 | 09:18 GMT



Developing markets are new growth areas for financial services providers however due to immature regulatory proceedings investors are being caught out by local brokers who are misusing the holy name of FX.

Police have asked the public to watch out for a new scam in online forex trading that targets the middle class after they received unprecedented number of victims.
At least 1,000 unsuspecting investors have been conned of funds to the tune of $13m (Shs32.3b) by online forex traders, police authorities confirmed yesterday.
Hoja za kushikiwa akili zina pata nguvu hapa.
 
Matusi yako siyataki na umenitumia PM hicho ndicho ninachokipinga wewe lete hoja zako zote hapa ila usinitukane SITAKI.
Nipinge kwa hoja zilizo enda shule na za ukweli na si kwa hisia. Hoja kwa hoja
 
Wewe ulifuata watu Pm na kuwaambia kuwa Yale mabanda ya kuku ya ONTARIO sio yake,ni picha kadownload huko south.
Eti kisa sura kaificha.
Nilikua na kuheshimu kwa inspiration zako humu.
Ila imebidi nifikirie upya heshima yangu kwako.

Una _Uhater flani hivi!!
Hiyo haihusiani na hii hapa mkuu
 
Zikipandishwa post zangu zote za nyuma utaona zina ufanano fulani kwa 80%

Na nafanya jitihada zipande zote hata za miaka ya juzi then watu tulinganishe.

Kwamba any post ambayo Inaelekea ina mawazo tofauti lazima ipingwe vikari sana?

Hakuna sehemu niliyo post kupinga FOREX.

Shida ni post zangu kuonekana zinajuwa against ila zikipanda zote itakuwa tofauti.

Na mimi nijilekeze kusoma FOREX vitabu kwanza make tiyari ninavyo.


Ila nitaendelea kupost post kama wakati wote na si lazima kila mtu akubaliane mawazo yangu.
sasa kumbe bado huelewi kile unachokipinga mara zote. Mwenye busara abgesoma kwanza hivyo vitabu ndo either apingane ama asupport ila inaonyesha ulikuwa unapinga kwa hisia tu
 
sasa kumbe bado huelewi kile unachokipinga mara zote. Mwenye busara abgesoma kwanza hivyo vitabu ndo either apingane ama asupport ila inaonyesha ulikuwa unapinga kwa hisia tu
Nazani nisha eleza hapo juu kwamba hakuna post hata moja niliyo pinga FOREX mimi kama mimi kama ipo ipandishe
 
sasa kumbe bado huelewi kile unachokipinga mara zote. Mwenye busara abgesoma kwanza hivyo vitabu ndo either apingane ama asupport ila inaonyesha ulikuwa unapinga kwa hisia tu
Kweli kabisa. Huyu jamaa nilikua namweshim sana!! Unawezaje kupinga kitu ambacho hukijui??
 
Hahaaa Mkuu kuna vitu tunavichanganya hapa Post zangu ambazo zinatafasiriwa na pia kupinga.
Kuita kitu UTAPELI ina maana kwamba unakipinga. Je ulikua unapinga kitu ambacho hukifahamu? Kama ndio je nikisema nna wasi wasi na akili yako nitakua nakosea?
 
Mkuu bado hujaeleweka, funguka mkuu...

Acha kumung'unya maneno,
 
The Capital Markets and Securities Authority ( CMSA) ,TRA, BOT, wizara ya fedha kitengo cha utakatishaji fedha.

Soon ukweli na uongo utajulikana, uzushi na kweli utajulikana wivu na sio wivu utajulikana, wenye wivu na wa kweli watajulikanaga,wajasiriamali na waganga njaa itajulikana.kuna watu watahama jukwaa mazima
 
Shida ya huyu Chasha anatuma PM za matusi na mimi kanitukana sana na pia anamponda Ontario kuwa ni TAPELI wakati si hivyo, tunapata shida sana kumuelewa.

Leo asubuhi nafungua JF nakutana na PM za matusi yake, tena ya nguoni huyu jamaa si mstaarabu kabisa, mimi nilikuwa nafikiri anajiheshimu kumbe bure kabisa. Sasa kama umedownload vitabu na unavisoma shida yako mpaka uwe Negative kwa kijana mwenzio Ontario ni nini? Ndiyo maana nilisema Chasha unaongozwa na chuki iliyopitiliza unakuwa kama nyoka?
Duuuh aiseee
 
Chasha unapoteza muelekeo serious... mwanzoni ulikuwa unapost vitu vya maana kweli lakini sasa hivi unashutumiwa unatukana watu PM, unapanic ovyo ovyo...hujibu hoja vizuri...n.k

Watu tulikuwa tunajifunza kwako vizuri tu lakini hizi siku mbili tatu hapa umebadilika balaa... Yaani hata unavyoandika mtu akisoma anajua haupo sawa..Na hata unavyojibizana na watu hapa inaonesha kuna kitu hakipo sawa...

Kama watu wameamua kwenda kwenye uelekeo fulani ambao wao wanaona upo sawa, waache wanajua wanachovuna wao..usiwaingilie na wewe kama unaanza kuwakosoa na kuwatukana watu PM kuhusu FOREX sio Poa mkuu..unajiharibia

Jirekebishe au kaa kimya tu itakusaidia... Huu ni ushauri nimekupa tu uuchukue au uuache ni juu yako..ila BADILIKA brother!!!!
 
Back
Top Bottom