Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

Dah! pole kwa changamoto ulizopitia lakini pia nakupongeza kwani bado una bahati

Cha kushauri, Kwa mtaji ulionao wekeza kikamilifu kwenye biashara unayoipenda naamini tayari ipo kichwani kwako, ila usipende kuwekeza nguvu zako nyingi kwenye haya mambo ya shortcut. Japo usiache forex na kubet ila cheza kwa tahadhari sana namaanisha weka pesa hata ikipotea huko isikuumize kichwa tena. Msingi wa kufanikiwa ni kujibidisha, Kutumia akili ipasavyo, kuongeza maarifa, nidhamu ya pesa, pia kuto kukata tamaa na usiizoee kazi/biashara . Mimi naamini biashara yoyote inalipa kama utazingatia misingi yake.


Binafsi ni muajiriwa nina lipwa pesa nzuri (ikiwa kwenye salary slip) lakini haikidhi mahitaji yangu na pia nina maono makubwa, Najibidisha na shughuli zingine mfano kununua mazao, ufugaji wa kuku pia kununua ng`ombe mifugo napeleka machinjio na kuuza kwa kilo. Changamoto kwangu ni muda na usimamizi. Kwaiyo kila bishara ina changamoto zake kabla ya kuingia jiandae kwanza kisaikolojia,
 
Entry yako but we base katk probability kiwango chako ch Sl kwamba ikienda against basi ikifika makadrio yako istop hapo si lazima itii makadirio yako ila kujua mwenendo na entry nzuri ndo jambo zuri Sl yako inakua safe,

Kuna ambao nikiangalia chart zao pale nilipoweka Tp wao ndo wamewek Sl

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado uwelewa wako mdogo ushaurii keep reading

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ndiyo kupotea kwenyewe ninakokusemea ona sasa umeshapotea
 
Kwa haya maneno uliyoandika hapa inaonekana hujaelewa bado hata introduction to forex.

Bro tafuta mtu yoyote anaetrade akusaidie kidogo then utaendelea mwenyewe

Yoyote yule sio lazima awe mentor mkubwa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona upo Race sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajaha mkuu umemaliza chuo gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah braza nielekeze kuhusu hii kitu bado sijakupata..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona SoMo unalielewa taratibu nenda mdogo.mdogo soon utaelewa FX ni Nini achana na kelele za JF

Focus just focus ila jihadhari na matapeli wako wengi Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…