Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

Dah! pole kwa changamoto ulizopitia lakini pia nakupongeza kwani bado una bahati

Cha kushauri, Kwa mtaji ulionao wekeza kikamilifu kwenye biashara unayoipenda naamini tayari ipo kichwani kwako, ila usipende kuwekeza nguvu zako nyingi kwenye haya mambo ya shortcut. Japo usiache forex na kubet ila cheza kwa tahadhari sana namaanisha weka pesa hata ikipotea huko isikuumize kichwa tena. Msingi wa kufanikiwa ni kujibidisha, Kutumia akili ipasavyo, kuongeza maarifa, nidhamu ya pesa, pia kuto kukata tamaa na usiizoee kazi/biashara . Mimi naamini biashara yoyote inalipa kama utazingatia misingi yake.

Binafsi ni muajiriwa nina lipwa pesa nzuri (ikiwa kwenye salary slip) lakini haikidhi mahitaji yangu na pia nina maono makubwa, Najibidisha na shughuli zingine mfano kununua mazao, ufugaji wa kuku pia kununua ng`ombe mifugo napeleka machinjio na kuuza kwa kilo. Changamoto kwangu ni muda na usimamizi. Kwaiyo kila bishara ina changamoto zake kabla ya kuingia jiandae kwanza kisaikolojia,
 
Naomba kuuliza swali kama biashara ya forex ni msingi wa mabadiliko ya pips. Ina maana hakuna kiwango cha chini kabisa cha loss kwamba hata pips zishuke namna gani sokoni haziwezi kushuka zaidi ya hapa unaset hiyo SL? Ili watu wasichome account zao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Entry yako but we base katk probability kiwango chako ch Sl kwamba ikienda against basi ikifika makadrio yako istop hapo si lazima itii makadirio yako ila kujua mwenendo na entry nzuri ndo jambo zuri Sl yako inakua safe,

Kuna ambao nikiangalia chart zao pale nilipoweka Tp wao ndo wamewek Sl

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni beginners nimeanza jana kuisoma na kuifahamu forex so far nimerealize kuwa maskini forex ni asilimia kubwa kuliko kutajirika. Mfano unaorder hela kubwa sana kupata faida ndogo.

Mtaji mkubwa = faida ndogo
Kwenye process ya Kutafuta faida ndogo = unaunguza mtaji mkubwa.

Dah mawazo yangu nilidhani ukiweka Eur/usd 100 unavuna 10 kumbe ni 1,000 unavuna cent.

Wazee wa forex mna roho ngumu. Salute guys

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado uwelewa wako mdogo ushaurii keep reading

Ndiyo kupotea kwenyewe ninakokusemea ona sasa umeshapotea
 
Mimi ni beginners nimeanza jana kuisoma na kuifahamu forex so far nimerealize kuwa maskini forex ni asilimia kubwa kuliko kutajirika. Mfano unaorder hela kubwa sana kupata faida ndogo.

Mtaji mkubwa = faida ndogo
Kwenye process ya Kutafuta faida ndogo = unaunguza mtaji mkubwa.

Dah mawazo yangu nilidhani ukiweka Eur/usd 100 unavuna 10 kumbe ni 1,000 unavuna cent.

Wazee wa forex mna roho ngumu. Salute guys

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa haya maneno uliyoandika hapa inaonekana hujaelewa bado hata introduction to forex.

Bro tafuta mtu yoyote anaetrade akusaidie kidogo then utaendelea mwenyewe

Yoyote yule sio lazima awe mentor mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni beginners nimeanza jana kuisoma na kuifahamu forex so far nimerealize kuwa maskini forex ni asilimia kubwa kuliko kutajirika. Mfano unaorder hela kubwa sana kupata faida ndogo.

Mtaji mkubwa = faida ndogo
Kwenye process ya Kutafuta faida ndogo = unaunguza mtaji mkubwa.

Dah mawazo yangu nilidhani ukiweka Eur/usd 100 unavuna 10 kumbe ni 1,000 unavuna cent.

Wazee wa forex mna roho ngumu. Salute guys

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona upo Race sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilichokufanya kukupa tishio la kulala njaa ni kutokuwa na Physically Investment ila uzuri umelijua hilo.

Kwa 10M fanya biashara ya 7M isiyo na mahesabu mengi na iliyo rahisi kusimamiwa na mtu hata kama haupo ninamaana ikifika wakati atakuwa anaisimamia mtu wewe unagonga pips zako geto...kwangu mimi biashara isiyo na mahesabu mengi Car wash na 7M ni mtaji sahihi hiyo 3M itakuwa akiba uta push hadi uhakikishe inaingiza faida then utageuka kwenye Forex hapo hata ukichoma account yote hutalala njaa...unanafasi kubwa ya kuwa success popa.

NB:USISAAU KUNIAJIRI GRADUATE MWENZIO NISIJE FARIKI BULE.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hajaha mkuu umemaliza chuo gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Iwapo hataki kutumia SL, basi awe mtaalam wa kufanya hedging either manually au aweke EA itakayokuwa ina monitor trades zake.

Moja ya EA nzuri ya hedging ni hii hapa: Hedge EA Advanced | Forex Trading App for MT4 ,Hii EA kwa sasa ipo ya Mt4 tu.
View attachment 1294700
Pichani ni hedging manually, ukiangalia hapo v75 badala ya Ku_buy nili_click sell, kuja kushtuka price iko mbali, nakafanya kufungua position Tano zaidi za BUY, manual hedging, ili ku_cover loss na kufunga trades zote baada ya profit kusoma.

jooohs asingepoteza fedha yote siku hiyo kama hii concept ya hedging angekuwa nayo na tayari alikuwa akitumia.
Dah braza nielekeze kuhusu hii kitu bado sijakupata..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naendelea kupata somo la forex. Ndio nimefahamu maana ya pips. Kumbe mabadiliko ya currency sokoni ni kidogo sana in pips. Nilikuwa najua rate inabadilika kwa 100, 200 mpaka 1,000.

Najaribu kufikiria mfano miaka ya nyuma wakati dola 1 ni Tsh. 1,000, ina maana miaka hiyo lets say mwaka 1995 kama mtu alinunua dola 100,000 akaja kuziuza mwaka 2019 kwa rate labda ya 2,350 hii pesa kwa sasa itasound kama pesa nyingi sana.

Ila in reality itakuwa haina thamani kama ya mwaka 1995. Ina maana ukicheza forex sasa hivi kwa mabadiliko madogo sana ya pips yana thamani kubwa kwa sasa kuliko mabadiliko makubwa ya baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona SoMo unalielewa taratibu nenda mdogo.mdogo soon utaelewa FX ni Nini achana na kelele za JF

Focus just focus ila jihadhari na matapeli wako wengi Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom