Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

Hahahahahahaa mimi ilikuwa upande wangu maana niliweka pebding order [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naenda nje kurudiii naona mishahara ya miaka 2 na zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran mkuu kwa ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usiache betting pia labda kama hauna ujuzi nayo kuliko FX. Betting ina strategies nyingi nzuri tu watu huwa huwa wanakosea kitu kimoja tu mtu anaweka Tsh 500 anachagua timu 20 ashinde Millioni 40. Ukiangalia kwenye somo la probability hadi huo mkeka utiki kwa kweli ni bahati nasibu hapo wanaishia kumtajirisha kanjibahi. Ila ukitulia betting inalipa vizuri tu.
 
Ndio mkuu betting inalipa tena sana

Ila sometimes inaenda na upepo kunakipindi kinafika kila unapogusa nikipigo hata timu yenye odd 1.04 inakuchoma

Jmosi nilikuwa sijafuma mkeka niko getto naangalia gemu ya Barcelona na real sociedad sijakaa sawa barcelona kapigwa goli
Nikaingia betpower nikaona Barcelona amepewa odd 3.2 nikasema liwalo na liwe nikadeposite laki 4 nikampa barca ashinde maana nilijua king messi yuko ndani.

Nimemaliza kubet tu griezmann kafunga goli la kusawazisha nikasema kipindi cha pili tunakuja kuwamalizia kweli ilipofika wakapata goli lingine nikasema nimepata faida ya laki 8 fasta fasta

Kocha wa real sociedad akafanya sub kakaingia kale ka januzaj kanapiga mpira mwingi hadi wakasawazisha gemu ikaisha 2-2 pesa ikawa imeenda hivyo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee... Unaweza kuwa sahihi kwa upande fulani lkn uhalisia haupo hivyo. Hii tunayotrade sisi inaitwa margin trading. Yaani hiyo ambayo sisi tunaita Capital is actually not a capital ila ni hela ambayo broker atamega kiasi fulani then atakishikilia kulingana na trades ambazo umeweka. Hela ambayo huwa tunatumia kutrade huwa ni kubwa kuliko capital zetu.

Sasa huwa inatokea sometimes losses zinakuwa sawa na capital yako. Hapo ndio kuchoma account kunatokea.

Hiyo mentality ya kwamba huuzi kitu mpaka kipande thamani haiwork kabisa kwenye forex.... Kama mtu akiwa na mentality hiyo matokeo yake ni maumivu tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapoo sasa ndo una takiwa kujuaaa ukiwa na pc au simu yakooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lot size ya moja kamili??? Shida ni kuwa ulikuja na matamanio makubwa ya kupata hela ndefu. Wakati huo unapata hasara kubwa, sema December ngumu January ndo siipatii picha

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…