Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

Sasa ndo umwambie biasha kama ipiii sasa hapo ndo umeshauri kwanii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi imenichukua miaka miwili hadi kuanza kuona consistency kwenye game, lakini kabla ya hapa nimechoma sana akaunti zisizo na idadi lakini nilijipromise kuto kukata tamaa na sasa namshukuru Mungu naona matunda ya forex.

Nimedevelope methodology au strategy yangu na nimeipa jina LA MONEY COMETH CODE(MCC) kwakweli naona fedha zikija kupitia hii strategy siyo kwangu tu Bali na kwa wanafunzi wangu wachache waliochagua kuiamini!!!

Unaweza ukacheki uchambuzi wangu wa soko kabla na baada kupitia page yangu ya Instagram yenye la, (sullam_Fx).

Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wana cheza na auto channel na stochastic ya 5,3,3 pamoja na MACD na wana fanya vizuriii ni ku master tu. Kwelii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii comment imenikumbusha mbali sana.
Nilishawah kutrade kwa lot size ya 1.0 kwenye mtaji wa dollar 98.

Kwa mara yakwanza na yamwisho nikaunguza account.

Ile siku nadhani utumbo uliingia kwenye kibofu maana nilivyojisikia haielezeki.
Wakati huo nimepigika vibayaa..!!
Tatizo fx unaweza jiwekea kanunu lakin ukishaanza kutrade unajikuta umeshachapa 0.5 kwenye mtaji wa 100. Ila ushauri wako nitaufanyia kazi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kweli ulikuwa na njaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Account ya $1600 unaweka lot size ya 1 af unaonekana unatrade bila SL ulitegemea nini kikupate?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa $ 1600 mbona unatrade tu vizuri lot ya 1.0 cha msingi tu ni ufungue only one position kwa wakati moja na pia kwenye lower time frame kama 15min, 30min au 1hr na SL isiwe kubwa sana pia usitarget pips nyingi sana..
 
Hiyo kawaida mkuu huwezi kushinda kila siku.
 
Mkuu usitishike na huo mkasa huwezi jua kweli ni forex au kuna mambo mengine nyuma ya pazia. Kama ni kufa mbona watu wanajiua kwa ajili ya mapenzi lakini bado mapenzi yanarun dunia?
 
Mkuu una Storystory tamu mzee kama zimetungwa zinatia desire ya ajabu mpaka najiona mjinga kuiweka chonjo FX pembeni mpaka leo yaani nimeijua FX then naishi maisha kama sijawai tumia JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fx easy sana boss tuliza tu munkali inaeleweka kinoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Information unazipata wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…