mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Niambie ambacho sio kamari hapa duniani ndugu. Unasoma mpaka chuo si ni kamari una uhakika gani kuwa utamaliza chuo ama uta secure job kwa hizo efforts zako. Unaoa una uhakika mkeo atazaa kweli. Hata unalima una uhakika gani jua ama mvua zitakuwepo zote.
Unafungua duka how much are sure kuwa wateja. Unaposafiri una uhakika gani kama utafika mbele ya safari yako ndugu na kurudi salama. Kuna watu wananunua Gari tokea dar wanaileta Mza ama Tarime ila injini inakufa njiani sio kamari hizo. Ngoja tu nikuache
Ni kweli. Ukiitiwa fursa sehemu, jua wewe ni sehemu ya fursa yao. Kuna kupigwa nje nje kabisa.sikuzote huwa nikisikia mahali kuna watu wanapiga pesa kanuni ni moja kuna wadau pia wanalizwa vibaya mno.
Na vile vile ndo njia za kufirisika Fasta Fasta mkuuKamari hizi ndo njia za kupata pesa fasta fasta
Nasubiri jibu nyie mbaojifanya miamba wa forex.Mtanzania gani amewahi kufanikiwa kupitia forex?
Washikaji zangu wote waliojihusisha na forex hawajawahi kutoka kimaisha.
Wafuasi wa ontorio wakkujib nitagNdio hebu nioneshe millionaire anayetrade tu (in USD)
Kwa hiyo kwako wewe kuwa successful trader mpaka uwe usd millionaire? Ni nani aliset hiyo international forex success standard unit? Hivi unajua 1 million usd ni hela ngapi za kitanzania? Hpa unaongelea 1 billion TZS.Ndio hebu nioneshe millionaire anayetrade tu (in USD)
OntarioMtanzania gani amewahi kufanikiwa kupitia forex?
Washikaji zangu wote waliojihusisha na forex hawajawahi kutoka kimaisha.
Siyo kila atakaye piga hela kwenye fx atakuja kukuonyesha wewe. Tatizo lenu jambo likikushinda basi unataka kuaminisha na wengine kwamba hili jambo haliwezekani.Wafuasi wa ontorio wakkujib nitag
Sawa forex siyo njia rahisi kutoboa maisha. Sasa wewe kama siyo zwazwa tuambie njia rahisi ya kutoboa maisha ili watanganyika wote wakatoboe maisha maana inaonekana wewe una uelewa wa maisha sana. WATU KAMA NYIE NDIO HAMTAKI KUONDOKA KWA SHEMEJI ZENU WALIOOA DADA ZENU KISA MNAOGOPA MAISHA. KUTWA KUBADILI MIKAO YA MATAKO TU KWENYE SOFA ZA SHEMEJI YAKO NA JICHO KODO KIDEONI π π πMtanzania gani amewahi kufanikiwa kupitia forex?
Washikaji zangu wote waliojihusisha na forex hawajawahi kutoka kimaisha.
Pesa inajitangaza mkuu we ukipiga mabilioni fx tutajua tu by the way nafanya forex na ntaendelea kufanya nilianza na mtaji wa 200$ na sasa nna 430$ lakini bado nadilik kusema fx iz like a gambling tu na sio rahisi kutoboa kwayo overSiyo kila atakaye piga hela kwenye fx atakuja kukuonyesha wewe. Tatizo lenu jambo likikushinda basi unataka kuaminisha na wengine kwamba hili jambo haliwezekani. Ukilima matikiti ukapata hasara basi utawambia wengine kwmba matikiti hailipi kumbwe ni wewe mwenyewe umefanya mistake somewhere. Wewe kama jambo limekushinda acha. ROHO YA KUKATA TAMAA INAKUTAWALA NA KAMA HUTAIMUDU YOU WILL NEVER BE SUCCESSFUL IN WHATEVER YOU DO.
Sawa mkuu we unajua forex vizur nikuuz kidogoKwa maelezo yako hapo juu betting hujui na forex pia huijui
Sasa kama huamini kama huwezi kutoboa kwenye fx bado unatrade ili iweje? Huoni kwamba unapoteza muda wako heri utafute njia nyingine mapema kabisa ambayo unajua ni straight forward full kutoboa? Ni unafiki mkubwa sana kufanya jambo usiloliamini maishani mwako!Pesa inajitangaza mkuu we ukipiga mabilioni fx tutajua tu by the way nafanya forex na ntaendelea kufanya nilianza na mtaji wa 200$ na sasa nna 430$ lakini bado nadilik kusema fx iz like a gambling tu na sio rahisi kutoboa kwayo over