Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

BIASHARA SIO KAMARI.
hata bureau de change sio kamari.
Kamari ya kwenye forex inakuja kwenye kuchoma aacount
Niambie ambacho sio kamari hapa duniani ndugu. Unasoma mpaka chuo si ni kamari una uhakika gani kuwa utamaliza chuo ama uta secure job kwa hizo efforts zako. Unaoa una uhakika mkeo atazaa kweli. Hata unalima una uhakika gani jua ama mvua zitakuwepo zote.
Unafungua duka how much are sure kuwa wateja. Unaposafiri una uhakika gani kama utafika mbele ya safari yako ndugu na kurudi salama. Kuna watu wananunua Gari tokea dar wanaileta Mza ama Tarime ila injini inakufa njiani sio kamari hizo. Ngoja tu nikuache
 
sikuzote huwa nikisikia mahali kuna watu wanapiga pesa kanuni ni moja kuna wadau pia wanalizwa vibaya mno.
Ni kweli. Ukiitiwa fursa sehemu, jua wewe ni sehemu ya fursa yao. Kuna kupigwa nje nje kabisa.
 
Mtanzania gani amewahi kufanikiwa kupitia forex?
Washikaji zangu wote waliojihusisha na forex hawajawahi kutoka kimaisha.
Nasubiri jibu nyie mbaojifanya miamba wa forex.
 
Ndio hebu nioneshe millionaire anayetrade tu (in USD)
Kwa hiyo kwako wewe kuwa successful trader mpaka uwe usd millionaire? Ni nani aliset hiyo international forex success standard unit? Hivi unajua 1 million usd ni hela ngapi za kitanzania? Hpa unaongelea 1 billion TZS.

Hata huko marekani kwenyewe hiyo ni hela ndefu sana kwa mwananchi wa kawaida. Ndiyo maana Forex inawapiga dole la kati maana mtu kama wewe unaonekana umeingia katika forex na mawazo ambayo tayari yalishafeli.

Kila mtu ana malengo/ target yake maishani ndugu wengine hata akipata million 100 TZS tayari kwake ni mafanikio makubwa. Kama mentors wenu uchwara ndiyo wanawafundisha kwamba ili uwe suceessful katika Forex lazima uwe na usd million account tena kwa mtaji wa dola 100 hadi 500 basi kalime tu dengu.
 
Wafuasi wa ontorio wakkujib nitag
Siyo kila atakaye piga hela kwenye fx atakuja kukuonyesha wewe. Tatizo lenu jambo likikushinda basi unataka kuaminisha na wengine kwamba hili jambo haliwezekani.

Ukilima matikiti ukapata hasara basi utawambia wengine kwmba matikiti hailipi kumbwe ni wewe mwenyewe umefanya mistake somewhere. Wewe kama jambo limekushinda acha. ROHO YA KUKATA TAMAA INAKUTAWALA NA KAMA HUTAIMUDU YOU WILL NEVER BE SUCCESSFUL IN WHATEVER YOU DO.
 
Forex inahitaji mahesabu makali ndugu yangu bila hivyo utachakaa.
 
Mtanzania gani amewahi kufanikiwa kupitia forex?
Washikaji zangu wote waliojihusisha na forex hawajawahi kutoka kimaisha.
Sawa forex siyo njia rahisi kutoboa maisha. Sasa wewe kama siyo zwazwa tuambie njia rahisi ya kutoboa maisha ili watanganyika wote wakatoboe maisha maana inaonekana wewe una uelewa wa maisha sana. WATU KAMA NYIE NDIO HAMTAKI KUONDOKA KWA SHEMEJI ZENU WALIOOA DADA ZENU KISA MNAOGOPA MAISHA. KUTWA KUBADILI MIKAO YA MATAKO TU KWENYE SOFA ZA SHEMEJI YAKO NA JICHO KODO KIDEONI 😃 😃 😃
 
Siyo kila atakaye piga hela kwenye fx atakuja kukuonyesha wewe. Tatizo lenu jambo likikushinda basi unataka kuaminisha na wengine kwamba hili jambo haliwezekani. Ukilima matikiti ukapata hasara basi utawambia wengine kwmba matikiti hailipi kumbwe ni wewe mwenyewe umefanya mistake somewhere. Wewe kama jambo limekushinda acha. ROHO YA KUKATA TAMAA INAKUTAWALA NA KAMA HUTAIMUDU YOU WILL NEVER BE SUCCESSFUL IN WHATEVER YOU DO.
Pesa inajitangaza mkuu we ukipiga mabilioni fx tutajua tu by the way nafanya forex na ntaendelea kufanya nilianza na mtaji wa 200$ na sasa nna 430$ lakini bado nadilik kusema fx iz like a gambling tu na sio rahisi kutoboa kwayo over
 
Bila kujua mahesabu/probability risk management itakushinda tu.
Winning chance ya kwenye forex ni 0.5 kwenye position 1
Wakati kwenye betting winning chance ukiweka gemu moja ni 0.3
 
Pesa inajitangaza mkuu we ukipiga mabilioni fx tutajua tu by the way nafanya forex na ntaendelea kufanya nilianza na mtaji wa 200$ na sasa nna 430$ lakini bado nadilik kusema fx iz like a gambling tu na sio rahisi kutoboa kwayo over
Sasa kama huamini kama huwezi kutoboa kwenye fx bado unatrade ili iweje? Huoni kwamba unapoteza muda wako heri utafute njia nyingine mapema kabisa ambayo unajua ni straight forward full kutoboa? Ni unafiki mkubwa sana kufanya jambo usiloliamini maishani mwako!
 
Betting + forex toka nimalize chuo 2019 nimeweza kukusanya zaidi ya million 20 ,mwana jamii forum humu alinisaidia fremu sababu nilikuwa na pesa nikafungua biashara ambayo naifanya mpaka muda huu
 
Back
Top Bottom