mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
BIASHARA SIO KAMARI.
hata bureau de change sio kamari.
Kamari ya kwenye forex inakuja kwenye kuchoma aacount
hata bureau de change sio kamari.
Kamari ya kwenye forex inakuja kwenye kuchoma aacount
Niambie ambacho sio kamari hapa duniani ndugu. Unasoma mpaka chuo si ni kamari una uhakika gani kuwa utamaliza chuo ama uta secure job kwa hizo efforts zako. Unaoa una uhakika mkeo atazaa kweli. Hata unalima una uhakika gani jua ama mvua zitakuwepo zote.
Unafungua duka how much are sure kuwa wateja. Unaposafiri una uhakika gani kama utafika mbele ya safari yako ndugu na kurudi salama. Kuna watu wananunua Gari tokea dar wanaileta Mza ama Tarime ila injini inakufa njiani sio kamari hizo. Ngoja tu nikuache