Ahhh jmnn we mfano Mancity walivyofululuza clean sheet vile watu wangapi walipata?Risk to reward ratio kwenye mpira hauwezi kumnufaisha mtu anaye beti hata kidogo.
Kwenye soka hakuna afadhali. Kamwe!
Hata kama ungekuwa unabetia city tu kila wachezapo bado in long run usingeweza kunufaika kwa sababu ya risk to reward ratio.Ahhh jmnn we mfano Mancity walivyofululuza clean sheet vile watu wangapi walipata?
Keep on betting.Niko kwny short course ya betting baada ya kufanikiwa kupenda mpira[emoji28]
Bado sijui betting
Vipi wale wakulima wa mpunga mwaka huu walifanya gamblinga? Maan walisubiri bei zipande mwezi wa pili nd wauze lakini hazijapandaMi nafanya forex na nimemake faida japo so sana ila mtaji wangu umekua on somehow lakn nasema forex is gambling coz unaweza fanya analyis zote ujuazo na bado ukapigwa maana anytime any second soko lnabalika tuko sawa sawa mkuu
Kweli we mchimba chumvi aisee tatizo umekariri kila mtu ajitangazeHuwezi kua millionaire kwa kutrade forex never never never never never never never never never never never never never never.
Bro forex is for smart people wasio na parapara ila wanasubira ya ukweli.U're success in forex plz
Wanamiliki sio wanacheza sawa sawa kabisaSio kwamba hawatajiriki kwani stock exchange haiendi sawa na forex kwa uelewa wako? Maan Warren Buffet nd alikotajirikia. Sishauri kuhusu kamali ila top ten ya matajiri kuna mtu na mkewe ni gamblers wa kutupwa las vegas wanamiliki hadi macasino hapo hapo las vegas nlitatak nisahihishe 2 hapo
Hizi trilioni sio za mtu mmoja mmoja niza mabenki na mataifa mbalimbali we na dola zako 500$ kaa kwa kutuliaKwahyo kwann matajiri bado ni wachache tanzania? Huko kwingine nako watu wanafeli daily ila forex 2 n kwamba inatoa majibu hapo hapo na wakati ni biashara kubwa. Halafu unavosema kuwa forex hakuna wanaotajirika kwann liquidity yake kwa siku ni 10 trillion $+ per day nani anacontribute hicho kiasi au mpaka kila alietoboa akutangazie. Stock exchange na ubabe wake wote liquidity yake ni 700 b $ per day na nd anaefuatia hapo.
Buffet yuko kwe stock exchange sio forex mkuuSio kwamba hawatajiriki kwani stock exchange haiendi sawa na forex kwa uelewa wako? Maan Warren Buffet nd alikotajirikia. Sishauri kuhusu kamali ila top ten ya matajiri kuna mtu na mkewe ni gamblers wa kutupwa las vegas wanamiliki hadi macasino hapo hapo las vegas nlitatak nisahihishe 2 hapo
Sawa kaka darubini endelea kudanload fedha usisahau kuja ktuinspire q vvd evidenceBro forex is for smart people wasio na parapara ila wanasubira ya ukweli.
80% of forex is waiting and not trading. Kama imekushinda kalime matikiti.
Sawa taja mabilionea bongo na bussiness zao tuwachambue ni wangapi wanfanya na wangapi wametoboa.Wewe ni 5/1000 yaan wachache sana waliobahatika lkn msininukuu vibaya cjasema forex haina ila ila nmesema ni kama gambling tu coz any second market inaweza change
Kwann ukinunua mzigo wa nguo wa mtaji wako wote zisipouzika utalinda mtaji?Hakuna biashara ya hivyo isipo kuwa biashara official znalinda mtaji lkn hz gemu zetu hazilindi mtaji ndo maana ukaamua ufungue biashara nasema uongo ndugu zangu
Walicheza wakapata na wakaweza kumiliki pia kwani mmiliki wa sportpesa hawezi bet?Wanamiliki sio wanacheza sawa sawa kabisa
Hawa watu wanao kwambia usitake risk sijui forex ngumu, ukisema uwasikilize ukawaombe mchongo wa kazi hakika wanakukimbia kama mzoga
Siunabaki na nguo auKwann ukinunua mzigo wa nguo wa mtaji wako wote zisipouzika utalinda mtaji?
Hawazi coz they know the secrets of bettingWalicheza wakapata na wakaweza kumiliki pia kwani mmiliki wa sportpesa hawezi bet?
Sawa wale mabank wanatoa wapi hizo ela maan mabank tunajua kazi yake ni biashara pia. Je hizo biashara wanafanya na nan?Hizi trilioni sio za mtu mmoja mmoja niza mabenki na mataifa mbalimbali we na dola zako 500$ kaa kwa kutulia
Sas stock exchange unaijua fresh? Inatofautiana nn na forex?Buffet yuko kwe stock exchange sio forex mkuu
Sawa sijajua kwa hao wa betting ila wale jamaa 100% ni gamblers hadi kesho hata kama wanamiliki casinoHawazi coz they know the secrets of betting