Forex ni gambling inachofanya isiwe gambling ni saikolojia ya wanaotrade ilivyojengwa kutokana na wahusika waanzilishi na mentors before ya huo kufanywa na retailers ulikuwa unafanya na mabank tu kama sehemu ya starehe yaani na maanisha gambling zote zimeanzishwa kama starehe kwa mabilionea sasa forex walianza mabank na sio kwamba inaaanza tu ikiwa na mzunguko wa $6 bil hapana ilianza chini
Kutokana na uongezeko wa watu mpaka mtu mmoja mmoja akaanza kuruhusiwa kutrade mzunguko wa pesa ukaongezeka ndo maana forex ni gambling kwa vile huwezi kuchukua insuarance kama trader kama biashara zingine means ukiliwa unatembea kama betting zingine
Sasa hii industry ina dealers wengi mno wanaopiga pesa hapo ndo maana inazidi kuchanganya watu kuwa sio gambling
Utaambiwa inataka knoledge🤣🤣🤣😂nakuja sawa utajua basic yote pips n nn, pair zote,trading season zote utatambua, how to choose a legit broker, ukija kiwanja hamna strategies 100% accurate hapa unacheza na emotion na risk management, stopping greedy kwa vile ni pesa ,hii ni proof kuwa unagamble haina ubishi
Mentors and other dealers hawa kutoa training na kuuza vitabu ,mara ,robots hakuna biashara watu wanatumia nguvu kuaminisha watu hadharani kwamba wamefanikiwa kama forex kwa 100% wanajifanya wanajua sana kushare mpaka withdrwal zao za cent account tunajua ,mara kuwa ib wa broker kadhaa kupata commsion kupondana katia ya mentor na mentor ujanja kibao
Kiuhalisia retailers ndo wananufaisha market marker na forex kama hamjui sio biashara kama zingine zile zinaenda upande 2 kwa vile nyie traders ndo mnachezeana akili pale ukibuy ukala ujue umekula ya wenzio waliosell wakati ule
Hali ngumu soko la forex usishangae mtu kila siku anauza signal mra training na seminar ndo wanapopata mlo hapo