mkuu hivi bank wanatumia sofware gani kutrade? na wanatumia broker kama sisi kudepost hela zao? na wakiwin postion nani anawalipa??iLotsize lazima watumie, laverege ndo inawezekana hawatumii au wanatumia ndogo Sana.
Mt4 ni kwaajili ya traders wadogo
ndio mkuu , good set up + good management mchezo umemalizaaaisee na wakitembea utakuta sio chini ya pips 500 mi nipo kwenye 5 hizo saba huenda nikafika niongeze juhud labda
ndio mkuu , good set up + good management mchezo umemalizaa
mkuu unatumia strategy gani kufanya uchambuzi??aisee na wakitembea utakuta sio chini ya pips 500 mi nipo kwenye 5 hizo saba huenda nikafika niongeze juhud labda
Natumia stragrey simple tu ila naaanza monthly , weekly na day kutafuta direction ya market halafu entry kwenye 4h time framemkuu unatumia strategy gani kufanya uchambuzi??
ok sawa mkuu, unatumia vigezo gani kupata hizo entries zako? pale unapotumia mult time analysis??Natumia stragrey simple tu ila naaanza monthly , weekly na day kutafuta direction ya market halafu entry kwenye 4h tim
Mcheki transparentfx YouTube ndo namuigaok sawa mkuu, unatumia vigezo gani kupata hizo entries zako? pale unapotumia mult time analysis??
Tufanye hivi achukuliwe watu wawili wote wapewe laki mbili mbili alafu mmoja abet na mwingine atrade forex, then baada ya mwezi ufanye assesCut
To cust story short ni gambling umepiga mule mule hakuna wa kunidanganya dunia hii market makers wanachukua kwa loosers wale vibua😂😂😂
Those have profiting aassuarance are dealers through training ,public seminars, selling learning materials kwishnei
Mcheki transparentfx YouTube ndo namui
SAWA MKUU HONGERSA NA MUNGU AKUBARIKIMcheki transparentfx YouTube ndo namuiga
Kuhusu software sijui, labda uende benki uulize.mkuu hivi bank wanatumia sofware gani kutrade? na wanatumia broker kama sisi kudepost hela zao? na wakiwin postion nabahni anawalipa??i
Mo alishafanya hicho kitu...Wa kubeti alishindaTufanye hivi achukuliwe watu wawili wote wapewe laki mbili mbili alafu mmoja abet na mwingine atrade forex, then baada ya mwezi ufanye asses
When na ilikuajeMo alishafanya hicho kitu...Wa kubeti alishinda
Mimi nikikaa upande wa kubeti nashindaTufanye hivi achukuliwe watu wawili wote wapewe laki mbili mbili alafu mmoja abet na mwingine atrade forex, then baada ya mwezi ufanye asses
Kuhusu software sijui, labda uende benki uulize.
Forex inayofanywa na benki(Tz) si sawa na inayofanywa na wewe.
USICHANGANYE FOREX YA BENKI NA YA KWAKO UNAYOTUMIA MT4
ok sawa mkuu mi nilifikiri kwamba , kwanza forex zipo za aina mbili ya kwanza ni real forex ambayo unaexchage currency moja kwenda nyingine pysically yaani mfano unaenda benki unawapa usd wanakupa tsh hiyo ndo real forex, sema unaexchange pasipo kutumia spot rate, spot rate naamanisha bei ya sasa mfano usd against tsh ile ya mtandaoni ukiigoogle sasa wanachofanya wanatengeza rate mpya mfano 1 tsh =2350 tsh hiyo ni spot rate, ukienda benki utakuta wameishusha mfano 1usd=2300tsh, wakiwa na lengo la kuprofit tsh 50 pia kukeep risk inayoweza tokea, hiyo ni mkono kwa mkono, inayofata real forex nyingne inafanyika katika mfumo wa electronic ambao ni virtual nakupa mfano rahisi chukulia unatrade forex kwa kutumia OANDA broker, na chukulia umepiga usd 100000 sasa unataka uwithdraw na njia broker anayoruhusu mfano tanzania ni bank tranfer na bank unayotumia ni ABSA, sasa broker anakuingizia bank, bank zinaingia kwa TSH na sio USD , bank nayo itaziconvert USD to TSH sio kwa spot rate ya mtandaoni itaishusha thamani ya dola kidogo ili ipate faida sasa hadi hapa nazani umeelewa real forex ilivyo(you exchane real currency to another, yaani mwisho wa siku pesa inaonekana kwa macho na inashikika mikononi)Kuhusu software sijui, labda uende benki uulize.
Forex inayofanywa na benki(Tz) si sawa na inayofanywa na wewe.
USICHANGANYE FOREX YA BENKI NA YA KWAKO UNAYOTUMIA MT4
Unaweza uka win hata ukiwa na probability ya 0.2 mkuu Ina depend how much you loose when you're wrong and how much you gain when you're rightahaha! speculation ni biashara ya kutabiri(nazani gambling ni kubahatisha, ukiwa na maarifa unaweza tabiri in postve direction ya asset fulani mala nyingi kuliko negative direction na KUBAHITISHA unaweza toa mala chache postve direction ya asset fulani kuliko aliyetabiri kwa maarifa ). your predicting the future price.. sema huku kwenye forex naonanga wanafanya kitu kinaitwa maximizing probability of event.. kadri unavyozidi kusoma sanaa na kuelewa ndivyo unavyoongezaa probability, na ukishafikia 90% probabilty ya pair fulani.. basi tabia zianakuwa hazibadiliki sanaa, so unakuwa na some how SURE EVENT japo bado bado unadili na PROBABILTY. yaani wale waliosoma sana tena sana nazani probability ya EVENT huwa 0.7+, hapa maanayake anauhakika kupata 5 position out of 10 position, ukiapply na RISK MANAGEMENT unajikuta muda huo unapoteza pesa na muda huo unaingiza pesa zaidi ya ulizopoteza. sema kwenye mambo ya fedha speculation wanaiterm ni PROBABILTY BUSNESS. na wajuzi wa mambo wanasema ukiweza kufanya uchambuzi na probabilty yako ikawa 0.7+ kujumulisha na good risk management, basi unahesabika unafanya BUSNESS Na siyo GAMBLING kwa sababu unaijua nje ndani asset husikaa, yaani unapata postve feedback in longterm, na pia unapofanya speculation busness pasipokuwa na maarifa sahihi ya asset husika basi utaesabika hufanyi biashara bali unafanya GAMBLING, So naweza kusema unaweza fanya FOREX kama busness endapo tu unauelewa wa asset husikaa inavomove nje ndani simanishi 100% unajua direction ya movement hapana, namanisha ukiifanya mwisho wa siko uwe na uwezo wa kukuza xxx cash ammount , e.g usd 20 to 21usd,22usd n.k, na pia unaweza fanya FOREX kwa kugamble, unaplace buy au sell bila kujua kiundani kwa nn nimebonyeza sell au buy, na pia ukiotea mwelekeo unapiga pesa na ukikosea direction unapigwaa, GAMBLERS they dont have skillls to maximizing their probabity to 0.7+ and GOOD ONES can do it, so this GAME is PROBABILITY GAME, The more you know probabilty of asset the more you earn and opposte is true
WAJUMBE NI MAWAZO TU, KAMA KUNAWAJUZI WENGINE WANAWEZA ONGEZEA.
ok sawa mkuu mi nilifikiri kwamba , kwanza forex zipo za aina mbili ya kwanza ni real forex ambayo unaexchage currency moja kwenda nyingine pysically yaani mfano unaenda benki unawapa usd wanakupa tsh hiyo ndo real forex, sema unaexchange pasipo kutumia spot rate, spot rate naamanisha bei ya sasa mfano usd against tsh ile ya mtandaoni ukiigoogle sasa wanachofanya wanatengeza rate mpya mfano 1 tsh =2350 tsh hiyo ni spot rate, ukienda benki utakuta wameishusha mfano 1usd=2300tsh, wakiwa na lengo la kuprofit tsh 50 pia kukeep risk inayoweza tokea, hiyo ni mkono kwa mkono, inayofata real forex nyingne inafanyika katika mfumo wa electronic ambao ni virtual nakupa mfano rahisi chukulia unatrade forex kwa kutumia OANDA broker, na chukulia umepiga usd 100000 sasa unataka uwithdraw na njia broker anayoruhusu mfano tanzania ni bank tranfer na bank unayotumia ni ABSA, sasa broker anakuingizia bank, bank zinaingia kwa TSH na sio USD , bank nayo itaziconvert USD to TSH sio kwa spot rate ya mtandaoni itaishusha thamani ya dola kidogo ili ipate faida sasa hadi hapa nazani umeelewa real forex ilivyo(you exchane real currency to another, yaani mwisho wa siku pesa inaonekana kwa macho na inashikika mikononi)
FOREX ya pili ni CFD, speculation/derivative, amabyo unaifanya kupitia MT4/MT5 ambayo unabuy lot size kupitia kwa broker na mwisho kukuwezesha kununua units of currency PAIR, Mfano USD/CAD, GBP/JPY ambayo dhamani ya PAIR inategemea movement ya real currency ya ask/bid( derivative product, is the product where by it does not have value in it is owns so its value depends in underlying asset , if the underlying asset change its value also the derivative asset change its values, thus why is called derivative financial asset) sasa swali langu ni kwamba na BANK zinafanya CFD kama sisi? na zinatumia MT4/MT5, leverage n.k
na pia huwa napenda nijue nikiwa natrade forex kwa broker flani, na kupitia huyo broker anatumia bank kama liquidty provider je ninapo excute trade yangu nakuwa nakuwa nimeakiakisesi mtandao wa electronic communication network (ECN)??
Hapo ni digital and analogy foreign exchange of currency unaongelea. Ni kitu kimoja. Nikikupa milioni Kashi na ya mpesa bado ni hela.ok sawa mkuu mi nilifikiri kwamba , kwanza forex zipo za aina mbili ya kwanza ni real forex ambayo unaexchage currency moja kwenda nyingine pysically yaani mfano unaenda benki unawapa usd wanakupa tsh hiyo ndo real forex, sema unaexchange pasipo kutumia spot rate, spot rate naamanisha bei ya sasa mfano usd against tsh ile ya mtandaoni ukiigoogle sasa wanachofanya wanatengeza rate mpya mfano 1 tsh =2350 tsh hiyo ni spot rate, ukienda benki utakuta wameishusha mfano 1usd=2300tsh, wakiwa na lengo la kuprofit tsh 50 pia kukeep risk inayoweza tokea, hiyo ni mkono kwa mkono, inayofata real forex nyingne inafanyika katika mfumo wa electronic ambao ni virtual nakupa mfano rahisi chukulia unatrade forex kwa kutumia OANDA broker, na chukulia umepiga usd 100000 sasa unataka uwithdraw na njia broker anayoruhusu mfano tanzania ni bank tranfer na bank unayotumia ni ABSA, sasa broker anakuingizia bank, bank zinaingia kwa TSH na sio USD , bank nayo itaziconvert USD to TSH sio kwa spot rate ya mtandaoni itaishusha thamani ya dola kidogo ili ipate faida sasa hadi hapa nazani umeelewa real forex ilivyo(you exchane real currency to another, yaani mwisho wa siku pesa inaonekana kwa macho na inashikika mikononi)
FOREX ya pili ni CFD, speculation/derivative, amabyo unaifanya kupitia MT4/MT5 ambayo unabuy lot size kupitia kwa broker na mwisho kukuwezesha kununua units of currency PAIR, Mfano USD/CAD, GBP/JPY ambayo dhamani ya PAIR inategemea movement ya real currency ya ask/bid( derivative product, is the product where by it does not have value in it is owns so its value depends in underlying asset , if the underlying asset change its value also the derivative asset change its values, thus why is called derivative financial asset) sasa swali langu ni kwamba na BANK zinfanya CFD kama sisi? na zinatumia MT4/MT5, leverage n.k
na pia huwa napenda nijue nikiwa natrade forex kwa broker flani, na kupitia huyo broker anatumia bank kama liquidty provider je ninapo excute trade yangu nakuwa nakuwa nimeakiakisesi mtandao wa electronic communication network (ECN)??
Haya maswali umeshajijibu.sasa swali langu ni kwamba na BANK zinfanya CFD kama sisi? na zinatumia MT4/MT5, leverage n.k