Motives za soko ni tafauti, wanaofanya soko lisogee hawatrade kupata faida na wamaotrade kupata faida wanatrade electronically nkimaanisha ni computer znatrade sio mtu anasoma charts kama mnavofanya, ila nyie mnataka kuprofit kwenye soko ambalo mkubwa wako hana interest ya kupata faida, huoni ama ni uchizi huo?
angalia, mm nmetuma ela kenya kwa ajili ya matibabu labda ya mgonjwa kwa kua nmefanya transaction nmeuza tsh yule wa kenya kapewa ksh, wewe unataka kusoma charts kupredict watu wote wanaotaka kutuma ela za matibabu kenya kama sio uchizi ni nn huu sasa? ama mm nataka kununua gari nje nmeweka tsh benki kule wamepokea dola wewe unataka kusoma charts kujua kwamba leo kuna mtu anafanya mwamala wa tsh kununua gari, kwa lugha nyepesi hua kuna mda mnakuaga kama comedy