Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

pia mm sio mtu wa kupenda kujazana maongezi na mtu mjinga, napenda mtu ambae anatoa maelezo na reference na story nyuma yake story za vijiwenu kapige uko na wenzako
Nani mjinga hapa, wewe mwongo mwongo unaejinadi kuwa software developer na hujui Google kuwa ni search engine tu au mimi niliekuuliza swali rahisi tu, "software gani wewe umetengeneza na umeshindwa kujibu mpaka sasa?"
 
swali zuri, katika trading hakuna chochote kinachouzwa, na najua kabisa unatakiwa kudeposit pesa halali ila kwenye trading pale sio pesa yako inatumika bali unapewa tu mkeka, ndo maaana unaweza kudeposit $1000 ila broka akakuruhusu utrade na mtaji wa $100,000 ni kwa sababu hio pesa haipo na wanajua kabisa hio pesa haipo na hakuna mtu anaenda kupewa hio pesa

lakini pia broka anajua hio pesa haitatoka nje ya mfumo wake itabaki ndan kwa sababu ili uweze kufunga trades anatakiwa mzembe mwingine wa kufungua, so inakua circle mkeka umetoka uku unaenda kule but sio pesa inaozungushwa , so haiwezi kua trading kwa sababu hakuna ulichouza wala kununua

- trading wanafanya watu wanaofanya SPO(CASH) ndo wanaofanya trading halisia na hio sio kwa broka
 
Nani mjinga hapa, wewe mwongo mwongo unaejinadi kuwa software developer na hujui Google kuwa ni search engine tu au mimi niliekuuliza swali rahisi tu, "software gani wewe umetengeneza na umeshindwa kujibu mpaka sasa?"
- hio haikuhusu na nshakwambia siezi biashana na mtu mjinga, hujui forex sasa sielewi unachobiashana ni nn apa maaana nshakupa reference mpaka ya mtu aliefanya kazi benki ila unajikuta mjuaji so means we ni MJINGA
 
Msaada kuna tofauti yeyote ya Forex na cryptocurrency hizi sijui Bitcoin, Solana, nk? Naomba majibu tafadhari Kwa wanaofahamu
Ni assets class tofauti, forex means currencies ndio zinakua exchanged wakati crypto ndo kama hizo ulizozitaja lakini tabia ya price inaaply kote hata kwenye mazao mfano mahindi au mpunga wakati wa mavuno baada ya bei iliyokuwepo (opening price) mda wa mavuno price itashuka false move/manipulation then itaanza kushuka hadi low price then itaanza kupanda (real move) hadi miezi ya **** na mbili hivi hadi high price unapouza miezi hiyo unakua unafanya distribution. So ukitaka kununua unasubiri price iende low then unahold ikifika high unauza. Hayo ni mazao ila upande wa hizi financial asset classes unapiga kote kote ukitaka kuuza/kugo short unasubiri iende high kutoka open price (manipulation) then ndo unasell
 
- hio haikuhusu na nshakwambia siezi biashana na mtu mjinga, hujui forex sasa sielewi unachobiashana ni nn apa maaana nshakupa reference mpaka ya mtu aliefanya kazi benki ila unajikuta mjuaji so means we ni MJINGA
jibu swali we mwerevu ni software ipi wewe umetengeneza?...pana ugumu gani kwenye hili swali?...
😂😂😂😆🙄
 
Hii unachagua wweee lakini kuwa unataka leverage kiasi gani.
Na wale Wanao invest ama Wana trade live stocks or futures pia kwani hawapotezi kwa Mana ya kupata hasara

hawapotezi bali investment yao kwa huo mwaka inahesabika kama haikuzaa matunda ila bado wanaendelea kua nazo, lakini pia traders wakubwa wanaomove market hawatrade kwa kupata faida bali wana motives tafauti

bank of tanzania hafanyi forex kwa sababu anataka faida anafanya ivo kwa manufaa ya nchi na kubalance uchumi, mfano watu wanataka kufanya export wengine wanataka import so on a daily basics kuna wanaotaka dola na wanaotaka tsh, unfortunately wanaotaka dola ni wengi ndo inakuja rate ya 1$ = 2800 TZS but sehem zingine $1 inaweza kuuzwa hata $2500 ama $2600 ni trading venues tafaut, dola byuro de change ni tafaut na dola benki ama dola BOT ama hata binance pale dola moja nadhan ni 3000 saaahv, so kwa ujumla wote huu ndo tunaita forex
 
Mimi na miaka 14 kwenye soko la forex ila sio mafanikio ya haraka watu wanavofikilia.nimeona malalamiko mengi hapa JF bora kueleza ukweli.

Asilimia kubwa forex ni High risk na inaweza kukuweka maskini kwa sekunde tu. Sababu kubwa kinacho changia ni watu kutokuelewa na kuwa na haraka ya mafanikio wakiona ushawishi wa mitandao ya kijamii yale mafanikio wanayo onyeshwa bila kujua uhalisia wa watu.

Ogopa sana mtu anayekwambia kafanikiwa kwenye forex alafu huyo hyo anataka kuwafundisha au kuwa tradia mkiipa pesa zenu. Watu hawa asilimia kubwa wametrade na kupoteza pesa nyingi na kuanza kutafuta kwa njia nyengine ili kupata kipato.

wanaongia kwenye forex wengi ni betting jackpot bila kujua risk management. Ili jambo linawakuta sana wanaoingia kwenye forex sababu ya kuaminishwa na matamanio wanayoelezwa kuwa utatoboa haraka.

Ukweli forex ni utapeli uliochangamka kwa wasiojua biashara hii ilivyo sababu imebebwa na tamaa za watu kutaka mafanikio. Kwa nini forex ni utapeli uliochangamka? Biashara ya forex imegeuka kuwa utapeli sababu hakuna mwenye uhakika na soko kama neno lake lilivyo Foreign exchange.

Sababu ni hipi kuonekana kuwa ni utapeli?
  • Wengi wetu sio wasomaji wa vitabu vinavyo husiana na elimu hii wanataka kufundishwa leo kesho yupo sokoni.
  • Waaminishaji na wahamasishaji ni wengi pale wanapokuonesha mafanikio yao ila hasara kuoneshwa ni ngumu.
  • Usiri wa mafanikio ya forex ni mkubwa sana kwa wachache ila ni wengi waliofeli kwenye mafanikio.
  • Mabroker wengi wamekuwa matapeli sababu hawa wapeleki sokoni hapa unatakiwa kujua ni broker gani kwako.
  • Kujiona muelewa ndani ya mda mfupi bila kutambua soko sio lako na kufeli hapo hapo.
TAHADHARI:
Hakuna chochote duniani utakacho fanya bila kukidadisi mwenyewe usitegemee mtu yoyote kukupa mafanikio sio changamoto utafeli.

Most people lose money in Forex trading, why is this? Actually numbers are following: 70% -75% of people lose money in their first year of trading!

Other 20–25 % lose money in next 5 years! (hapa srJEff ina muhusu)

And only 3–5% of all traders are profitable or not losing money.

Reason why people lose money:
  • Not following money management;
  • Do not know how position sizing works;
  • Do not have trading system;
  • Over trading!
Forex ni umasikini mtupu na kupoteza hela tu.
Kumbe sirjeff naye kachezea za uso??!!!
username yako ina maana gani?
 
jibu swali we mwerevu ni software ipi wewe umetengeneza?...pana ugumu gani kwenye hili swali?...
😂😂😂😆🙄
elewa siwezi bishana na mtu MJINGA, alikuepo mwenzako apa asubui kidogo ata alikuja na screenshot za investopedia na nkamuelewesha kaelewa sasa wewe endelea na UJINGA ivo ivo
 
jibu swali we mwerevu ni software ipi wewe umetengeneza?...pana ugumu gani kwenye hili swali?...
😂😂😂😆🙄

na usidhan kama una akili kushinda wengine waliotangulia walikuepo wakina francisco magnetics , sir jeff wote walikua wanatetea forex mwanzako kafanya la maaana yuko zake kwenye mbao

walikuepo wakina sandile wenye mpaka brokage na wameishia wap na walikua na mitaji ya maaana, tatizo lenu mnaona kama tunaongea sana but mtu MJINGA unamwaacha na ujinga wake
 
Na wale ndio wanaochafua industry hawana maarifa ya kutrade wanaishia kulaghai traders lengo kujipatia pesa kwa training. Kwa real trader huwezi ukawa unapoteza muda kushawishi MTU umfundishe. Na ukishakua real trader ni nadra sana kumshawish MTU kuingia ktk trading ni lazima kwanza yeye awe na hiyo passion kwan the journey is real tough
trader ama mtu wa kubet amna trading kwenye mt4
 
hakuna mtu ashawahi kupata pesa ya maaana forex, au unamaanisha ulipata $100 ndo ukaacha ama ndo mafanikio haya
Yaani umeuliza kama ni one time thing. Betting kwamba mtu anapiga bilioni.
Forex is everyday work. Watu wanapata hela kila siku za faida ya exchange, na watu wengi wanaakisi vibaya soko, wanachoma hela. Sasa dolla 100 mbona ni one time thing ndugu.
Alafu dizaini mbona kama kun kaubishi unataka kukaanzisha na mimi kuhusu forex. Unataka kimpango wa pesa au? Sisi tulifanya hizo vitu ila kwasababu tulihitaji zaidi in a way good of risk tukaacha tukachagua kufanya biashara movable. Come again
 
Na hao ndio wanaochafua industry hawana maarifa ya kutrade wanaishia kulaghai traders lengo kujipatia pesa kwa training. Kwa real trader huwezi ukawa unapoteza muda kushawishi MTU umfundishe. Na ukishakua real trader ni nadra sana kumshawish MTU kuingia ktk trading ni lazima kwanza yeye awe na hiyo passion kwan the journey is real tough. Ukiona MTU anajinasibu anfundisha trading jua anatajipatia kipato kwa training na sio kwa kutrade
Forex ni umasikini mtupu na kupoteza hela tu.
Kumbe sirjeff naye kachezea za uso??!!!
username yako ina maana gani?
 
hawapotezi bali investment yao kwa huo mwaka inahesabika kama haikuzaa matunda ila bado wanaendelea kua nazo, lakini pia traders wakubwa wanaomove market hawatrade kwa kupata faida bali wana motives tafauti

bank of tanzania hafanyi forex kwa sababu anataka faida anafanya ivo kwa manufaa ya nchi na kubalance uchumi, mfano watu wanataka kufanya export wengine wanataka import so on a daily basics kuna wanaotaka dola na wanaotaka tsh, unfortunately wanaotaka dola ni wengi ndo inakuja rate ya 1$ = 2800 TZS but sehem zingine $1 inaweza kuuzwa hata $2500 ama $2600 ni trading venues tafaut, dola byuro de change ni tafaut na dola benki ama dola BOT ama hata binance pale dola moja nadhan ni 3000 saaahv, so kwa ujumla wote huu ndo tunaita forex
Unachokieleza hapa nakufahamu nadhani. Mana central banks zote dunia nzima huwa Zina intervene exchange rate ya currency yao for various reasons. Mfano smt to lower rate to export more like Japan vs Kenya hela ya Japan ipo chini kulinganishana na shilingi ya Kenya.
 
hawapotezi bali investment yao kwa huo mwaka inahesabika kama haikuzaa matunda ila bado wanaendelea kua nazo, lakini pia traders wakubwa wanaomove market hawatrade kwa kupata faida bali wana motives tafauti

bank of tanzania hafanyi forex kwa sababu anataka faida anafanya ivo kwa manufaa ya nchi na kubalance uchumi, mfano watu wanataka kufanya export wengine wanataka import so on a daily basics kuna wanaotaka dola na wanaotaka tsh, unfortunately wanaotaka dola ni wengi ndo inakuja rate ya 1$ = 2800 TZS but sehem zingine $1 inaweza kuuzwa hata $2500 ama $2600 ni trading venues tafaut, dola byuro de change ni tafaut na dola benki ama dola BOT ama hata binance pale dola moja nadhan ni 3000 saaahv, so kwa ujumla wote huu ndo tunaita forex
So cfd brokers hawapo Ni nadharia tu professor.
 
Back
Top Bottom