Forex sio utapeli na ninajuta kuchelewa kuiamini

profesional trader wanatafuta 5% to 10% a month, trader wa jf ana dola 100 anataka 50% profit a day, forex ni real lakini si kila mtu anaweza.
5penct anayozungumzia mzungu sio sawa na ya mbongo mzee mzungu ana kuwa na zaid ya 10000usd capital akisema 5pnt means pesa ndefu, haawa wa usd 100 200 ni mwendo wa hollygrail tu ukitoboa umetoboa no way
 
🙏🙏🙏 nimekupata kiongozi
 
Mpaka umfuate mtu akufundishe basi kunakitu umeona kwake achana na wale wanaokuita , binafsi siwezi mkomvinsi mtu nimfundishe forex ila nitamdirect nenda kwa fulani
 
ONTARIO kuna Ng'ombe huku inatafuta machinjio ukuje kuchukuwa.
Machinjio ni market kiongozi kwa uchache wa knowledge yangu siwezi kujikabidhi pesa kwa mtu, ntapambana kujipa knowledge ntajitafuta mpaka nijipate. Ndo maana hiyo uzi sijaomba mwalimu ila nahitaji mawazo ya wadau kwenye game
 
Umeongea kikubwa kaka....The issue inaweza kuwa ngumu sana kujifunza peke yake ama kupata right PDF za kusoma kumwezesha kuelewa nini kinaendlea sokoni na Kama walimu hawapatikani basi anunue course kwa foreign traders kulingana na strategy anayopendelea otherwise it will take him a long journey to get there na Mara nyingi hii safari huwa imejaa upweke,huzuni na utakata tamaa Mara nyingi usipozizuia hisia Zako..Otherwise I wish him well in everything,We don't worship impossibilities
 
Na Mfano Mimi nimesoma kwa walimu wengi sana before sijakutana na Mtu sahihi ambaye akanipa kile nilichokua nakitafuta kwa miaka and everything changed in minutes...Kama ulivosema Trading ni game ya akili zaidi unahitaji psychology nzuri ya kuelewa nini unatafuta sokoni....Kikubwa ni ku sharpens skills na kujua what's your edge and it has to be proven it works
 
Kuna baadhi ya kozi za udemy nlizipata zimenipa mwanga, pdf zipo nyingi sana ila kuipata sahihi itayoendana na akili yako ndo mtihani japo kuna baadhi zimenipa mwangana na confidence
 
Mentor ni muhimu atakayekuonyesha uelekeo ila ni vyema na yeye awe kwenye game, sio hawa wanakufundisha afu wanakuacha uchome akaunti
 
This is a lonely professional. It's a solo journey. You've to travel yourself.
You've to be the solitary Hunter like puma/American cougar/American lion na sio African Savannah lion who hunt which Hunter en mass. Even African cheetahs hunt in male five group or a company.
You've to know what you're waiting or patient for like how the crocodile waits patiently anajua kuwa miss fulani nyumbu wanakuja kunywa maji so anasubiria bila kuchoka
 
Forex ni moja kati ya biashara ngumu duniani. Inahitaji mtu awe smart, hard worker and determined. Sio biashara ya wavivu hii aisee. Once ukiwa na maarifa na taarifa sahihi. Kufanikiwa kwenye hii field inawezekana.
Yes yes big yes!
It's one of the hardest endeavor ever known to human being history and it's one of the most rewarding job ever in this planet. Big money can be made Ina an embarrassing short time. But the skill and capital taken to build this money is immeasurable takes time ,tears ,blood and tears.
It's difficult because we need to do things that are against our human nature against every fiber,inch of our being or Dna. Remember you can make money in this industry,it takes a skill and not luck or chance
 
One year practising trading is worth more than five years reading and watching videos and attending weekend courses.

Nb

It's impossible to write more... and not get better at writing!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…