SawaJapo ndo umuhimu wa kumanage risk ulipo
Sio michezo ni profession kama profession nyingine wanaofilisika ni hao wanaouona kama mchezo, hii sio betting maana huo ndo mchezo wa kamariUngejua watu wanavyofilisika na hiyo michezo, ungenyamaza tu
Don't rush to live accountDon't rust to demo account
Usikariri please be flexible man. Ndicho trading uzuri wake unaweza kuuza ama kuseli shares or any financial instruments. You're long and you're wrong then reverse your order if your criteria za ku short the market is met.5penct anayozungumzia mzungu sio sawa na ya mbongo mzee mzungu ana kuwa na zaid ya 10000usd capital akisema 5pnt means pesa ndefu, haawa wa usd 100 200 ni mwendo wa hollygrail tu ukitoboa umetoboa no way
They rush to make money. Niambie Kama Kuna aliye tulia akastadi hii gemu for not less than 5yrs na akaanza kufanya zoezi kwa demo mpaka akaongeza digit moja kwa demo then akaingia live na akafilisika. They rush to be rich I know people emotionally how we behave all.Ungejua watu wanavyofilisika na hiyo michezo, ungenyamaza tu
Hiyo miaka mitano ya kustudy game huna kazi ya kufanya au?They rush to make money. Niambie Kama Kuna aliye tulia akastadi hii gemu for not less than 5yrs na akaanza kufanya zoezi kwa demo mpaka akaongeza digit moja kwa demo then akaingia live na akafilisika. They rush to be rich I know people emotionally how we behave all.
That's our human weakness so to make money understand our nature and then do opposite of it uone.
We all love instant gratification,we love to procrastinate things.
We love to feel happy,we seek pleasure and avoid pain by any means even to lie to ourselves. Our mind has two characteristics 1; to avoid pains 2- to relate the last moment with now moment.
Hujawahi sikia hapa watu wakishasikia kabila fulani wanasema ama wanahitimisha kuwa Hawa wako ivi.
Basi ngoja niache
Demo nilipiga hela kishenzi, tatizo lilianza nilipofungua live account"soon najilipua na live account so sad maada za fx Jf haziungwi mkono kutokana na matapeli wachache waliotutangulia kuliona jua"
Wewe usidanganye wenzako, kwa hilo ulilozungumza bado huijui Forex, Top 10 ya matajiri duniani hakuna Fx trader, trader yeyote mzuri anaweza ku double account, lakini double account kwa lengo la kukuza mtaji baada ya hapo endelea ku trade kwa discipline...Usiwe biased na usiwe na fixed mind,unachoelewa ama mie nachoelewa Ni sehemu ndogo mno ya whole knowledge.
Sikiliza Sasa unaweza uka dabo akaunti yako ama uka triple ndani ya siku moja na bila risk ya kuinguza akaunti yako. Uelewe pia hakuna specific curriculum ya trading. Kuna akaunti ikitoka $1460 ndani ya 28hrs ikawa inasoma $64600. Hii ishu Ni skills na inachukua muda mno kuzitrngengeneza. Ile craft and mastery of the craft it takes time to master and build it.
Na sio ivyo tu Bali the right and correct information ndio msingi. Ziko info nyingi ishu kubwa Ni kuzi filter
But kuna mabilionare wakubwa tu dunia hii in US Dollar ambao utajiri wao umetoka kwenye hedge funds..... and hedge funds make money through tradingWewe usidanganye wenzako, kwa hilo ulilozungumza bado huijui Forex, Top 10 ya matajiri duniani hakuna Fx trader, trader yeyote mzuri anaweza ku double account, lakini double account kwa lengo la kukuza mtaji baada ya hapo endelea ku trade kwa discipline...
Pro tadera anaweza double account lakini wanajua its too risk, hakuna setup au analysis kwenye fx itakupa uhakika 100 % all the time... Hata uwe best vipi Forex inahitaji discipline...
Jaribu kupunguza ujuaji na usiwapoteze wenzio, hivi wewe unaijua Forex kuliko waliotengeneza MT4/MT5 na zile indicators? Bora ukae kimya
Ndio hivyo msi force, Fx inahitaji capital, kwani mi sijui 5% ninayozungumza, dola 100 kanunue simu mdogo wangu, we endelea kuwa motivated na hao wapigaji wanawauzieni vitabu vya head and shoulders wakiwadanganyeni unaweza anza na dola 100, ndio maana majority ya jf members wanajua ni fx ni betting, endelea..5penct anayozungumzia mzungu sio sawa na ya mbongo mzee mzungu ana kuwa na zaid ya 10000usd capital akisema 5pnt means pesa ndefu, haawa wa usd 100 200 ni mwendo wa hollygrail tu ukitoboa umetoboa no way
Hedge funds mitqji ni mikubwa mno, Soros alikuwa na zaidi ya 10 billion USD kwenye lile tukio la black Wednesday, usifananishe na hawa wa dola 100..But kuna mabilionare wakubwa tu dunia hii in US Dollar ambao utajiri wao umetoka kwenye hedge funds..... and hedge funds make money through trading
Amini unachokiamini bro mambo yasiwe mengi.Hedge funds mitqji ni mikubwa mno, Soros alikuwa na zaidi ya 10 billion USD kwenye lile tukio la black Wednesday, usifananishe na hawa wa dola 100..