Forex Trade imeniumiza

Poa
 
Hell before paradise, huo ndio ukweli.

Hio ni Discord server ya prop. firm traders wa moja ya makampuni nayoyafahamu na kujihusisha nayo somehow.

Trading is a very demand career lakini si kuwa haiwezekani.
 
Naona price inajielekeza kibla yenyewe, Bearish flag+trendline+resistance zone+moving average
 
Brain answers
 
Forex trade haina tofauti na betting, unaweza kula au kuliwa dakika yoyote.
 
Utajikaanga na mafuta yako mwenyewe kama kitimoto. Ukipata senti yako yoyote kafanye biashara za kueleweka sio hizo za kekundu keupe.
Ningepata mtu anipatie milioni 10 niwekeze kwenye haya makitu ingekuwa poa sana maana naona kwa sasa nimeiva hasa
 
njooni tufanye biashara ya samaki
natafuta partner wa biashara ya samaki anayeweza kufanya biashara na Mimi ya Samaki kutoka ruvu upande was Simanjiro Manyara

Sifa
awe na uzoefu wa biashara ya Samaki ayajue masoko
awe na usafiri unaoweza kubeba kuanzia Tani moja( Noah dume townace au Hilux)
awe tayari kuingia moja kwa moja kwenye eneo la kutafuta samaki
awe na mtaji Kama wa kwangu au ulionizidi kidogo

Upatikanaji wa Samaki

Samaki Aina ya tilapia/Sato au perege wanapatikana kwa wingi eneo linaloitwa Zambia Mazinde Hadi Remiti wilayani Simanjiro

huku wanauza kwa ndoo ndoo moja ya tilapia ni Kati ya elf 70 Hadi 80 catfish au kambale ni Kati ya elf 40 Hadi 55

mAsoko;
tunaweza kuuza kwenye mAsoko nliyozoea kupeleka samaki

Manyema
Bei za samaki sokoni Zina range Kati ya laki na 20 Hadi 90 soko likiwa baya kwa tilapia na Kati ya sh 80 Hadi 60 soko likiwa baya

Kilombero Arusha

Bei za samaki sokoni Zina range Kati ya shilingi laki na 40 Hadi 90 soko likiwa baya kwa tilapia na Kati ya sh 80 Hadi 70 kwa kambale

kuuza kwa kg
ndoo moja ya sato au tilapia Ina kg 18kila kilo moja ni sh 7000 ukiuza kwa kilo unapata avarage ya 130000 kwa kila ndoo ya tilapia na ndoo ya kambale Ina kilo 20 kila kilo no sh 3800 ukiuza kwa kilo kila ndoo unapata 76000
changamoto ya kuuza kwa kilo no kupata mteja was kununua kg zote na kukulipa kwa cash wengi wanaopenda kukopa
kwann tufanye biashara ya samaki

ni biashara ambayo ipo real ukinunua ukifungasha ukisafirisha unajua ushakua unapata faida gani na kwa muda gani

ni biashara ambayo ukiwa nje unaweza kuwaona watu ni wajinga wanuka shombo lkn ukiingia ndani ya field Kama una mtaji nlokutajia hapo juu utapata faida haraka zaidi ya biashara yoyote


kwann nahitaji partner
niliiibiiwa mtaji Kati ya mwezi wa 8 na 9 hivyo nimeshindwa kurudi kwenye pick Kama nlivyokua mwanzoni

mawasiliano nicheki dm
 
Those who mostly winning in forex and betting wanabase kwa kuangalia mathematics zaidi kuliko graphs (forex) and timu (betting)

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
When it come in learning forex, [emoji2957][emoji3539][emoji3539][emoji2]

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…