Mkuu, unaongea sana ila nadhani haujawahi kutrade on your own. Hii ni kama ngoma ya asili, huwezi kuelewa hadi uingie ucheze. Na haujui how long I've been in business, kwa kifupi kwa stage nliopo situmii mtaji wangu, natumia mtaji wa kampuni (prop. firm trading, you can Google that). Nishavuka vihunzi vingi, me nafikiri 5-10 years there's a lot to celebrate siwezi leo nikaondoka kambini,ntakuwa nakosea. Traders wa kweli hawaongei sana, mfano huyu jamaa huwa namkubali sana, very calm na sijawahi muona akijibizana na watu ovyo ovyo tangu nijiunge na Jf enzi za P.D Proxy. Heshima yako mkuu
Mwl.RCT Trading is a craft, ni sawa na ukianza kufanya muziki, you may have overnight success but in the long run lazima ujifue na ujitambue wewe ni msanii wa namna gani. Siwezi kuwaongelea rafiki zako, siwezi kujua ni traders au watu wa namna gani but personally me naona nitafia hapa. Ndio kotu nachojua mbali na yale tuliosoma vyuoni na hela nimezishika na hela nishapoteza, that's how the business is, hata casino sometimes wanaliwa na wala hawafungi biashara na kwenda kufanya mambo mengine.